Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,104
- 165,321
Kama vipi si uhame tu
Uhame nyumbani kwenu kisa??? Buzi la mama lina Kuja kuishi hapo....ni akili zako au za jirani???
Kama vipi si uhame tu
Uhame nyumbani kwenu kisa??? Buzi la mama lina Kuja kuishi hapo....ni akili zako au za jirani???
Mfano wewe Evelyn Salt ni mke wangu afu kuna siku nikufumanie red handed na jamaa.
Swali: je kwa haki kabisa Mimi napaswa nikomae na wewe au na jamaa?
Hapo ni nani mwenye makosa? Afu kumbuka jamaa hakukubaka bali umeridhia wewe mwenyewe kumpa jamaa game.
Ukipata jibu lipeleke kwenye hili swali la mleta uzi sheikh yasin
Bora kuwa na kiroba cha chumvi ndani kuliko kuwa na mtoto kama huyu!Ha ha ha Ruttashobolwa pitia mrejesho hapa lol
Bora kuwa na kiroba cha chumvi ndani kuliko kuwa na mtoto kama huyu!
Daa yani hadi naona aibu badala yako...pole wew ni mgonjwa
Unaweza chukia lakini baadae ukacheka na kinacho chekesha zaidi ni ujasiri wa kujifanya ana sisitiza kwa kutaja umri wake kuwa yeye ni mkubwa kumzidi yule mtoto daa huyu jamaa ni kiboko!Ila hii story inachekesha
Unaweza chukia lakini baadae ukacheka na kinacho chekesha zaidi ni ujasiri wa kujifanya ana sisitiza kwa kutaja umri wake kuwa yeye ni mkubwa kumzidi yule mtoto daa huyu jamaa ni kiboko!
Na yeye alikaa chini akaona aje kujibu hoja za wana jf hapo anaona amejibu kabisa Teh Teh
Teh Teh.... eti mafia..jf kiboko....Katika hili kinachonichekesha ni kusema "yeye pia ni mafia" nshacheka sana mie lol
Ina maana kwako ni sawa kabisa Mama yako mzazi kufanya haya tena mbele yako? Lakini si shangai ili jambo linavyo chukuliwa na wanawake ni tofauti na wanaume! Mfano wa Mengi na hii topic ni tofauti...! Kumbuka kabisa jambo hili likifanywa na mama ni tofauti kabisa likifanywa na Baba..Anyways. Maisha binafsi but.
Sasa huyo kijana atamla mama yake?
Mengi Reginald na k mnamsifia. Au kwa kuwa ana chapaa
Nina nyumba kadhaa town nishindwe kuishi na mtu wangu kisa watoto. Hainiingii akilini bado.
Sipati picha! Na watu ambao hawajui ni kuwa hapa ni Swala la Mama kufanya hivyo mbele ya mwanae wa kiume hakika maumivu ni tofauti kabisa na mtu mwingineSikujua kwamba things fall apart ilishatukumba siku nyingi.
Hivi mtu unaingiaje kwa room yako kulala huku ukijua kuna jamaa anamzini mamako? Yaani sielewi kabisa!
Kosa la mtoa mada ni nini hapo? Nani alisema kuwa umri fulani anatakiwa aroll na wa umri huu, mbona wanafiki nyie watu?
Kwa hy mamako mzazi mwenye miaka 54 kukanyagwa na kashkaji tena hom kwenu unaona poa tu
Sio poa kwako lakini utafanyaje? Mama ndo tatizo hapo