mwangukule
Senior Member
- Aug 15, 2013
- 131
- 7
muogope mungu
Duh....sijui nichangie nini maana nimesoma mpaka mwisho still bado natafakari..hila poa ngoja niache tu
Hebu niPM no ya mama yako
HahahaWakuu,
Kuna huyu mama wa makamo ana 51 kwa sasa, kuna kazi ya matibabu nilimfanyia, huwa anasumbuliwa sana na mgongo, na mimi ni Herbalist, nina kijifrem changu Mwanza ambapo nafanya shughuli hizi.
Sasa huyu mama baada ya kufahamiana kwa muda tukajikuta tumekuwa wapenzi na baadae akaniomba nihamie kwake tuweze kuishi pamoja, kwamba yeye kwa makamo yale hawezi kuhamia kwangu, nikakubali nikahamia kwake, yupo vizuri sana kwa kweli, anaishi na watoto wake hapo, mmoja wa kiume 21 na mwingine 19 wa kike, kuna aliyeolewa yupo kwake.
Sasa huyu wa kiume yaani hanipendi kama nini sijui, hanisalimii wakati namzidi mbali nina 34, nikitoka na gari la mama yake ananitazama kama mtu ameona mavi. Ni mwanachuo, akiwa anamuomba mama yake pesa akinyimwa anakosa adabu kabisa na kumjibu kwamba mbona huyo mtu wako unampa hela.
Wakati yule binti mwingine wala hana neno na mimi, ananiamkia na kuniheshimu na huwa tunatoka nae outing mara kadhaa na mama yake.
Huyu kijana amekuwa akinizungumza vibaya hata kwa ndugu wengine wanaokuja nyumbani, imekua ni kero sana.
Naomba mawazo yenu