Sioni masaburi mbona?
hi hi hi hi....
Kufuatia msamiati mpya wa 'masaburi' kushika kasi, nashauri kila unapomtaja mstahiki meya kwa jina, lazima uweke majina mawili na hadhi yake, yaani "Mhe. Didas Masaburi", ukimwandika 'Masaburi" tuu hilo neno limeshakuwa na canotation nyingine!.
ndio ni sehemu za nyuma za mwanaadamu!Kwani masaburi lina maana nyingine zaidi ya kuwa ni jina na mstahiki meya?
ndio ni sehemu za nyuma za mwanaadamu!
Makalio?****** = masaburi?