Mwana JF tuambie...

Mwana JF tuambie...

Dah yan hapa ndo nataka kutoka ofcn nikasema nipepese macho JF kidogo then nifunge ka-machine kangu nile kona ndo nimekutana na swali lako.....
 
mitihani isiyokuwa na invigirator afu hakuna kutumia four figure..

hahaha mitihani ya kiutu uzima haihitaji four figure.. Akili yako tu
 
Dah yan hapa ndo nataka kutoka ofcn nikasema nipepese macho JF kidogo then nifunge ka-machine kangu nile kona ndo nimekutana na swali lako.....

mpaka sasa bado upo oficn asee.. Erick u r a workaholic!
 
mmh mi hapo kwenye bweche umeniacha.....!
Bweche ni wali au ubwabwa lol....
Afu sijui kwanini sred yako naiona wakati wa menyu tu...
Ila leo sio tena bweche...............Karibu!
​
 
Bweche ni wali au ubwabwa lol....
Afu sijui kwanini sred yako naiona wakati wa menyu tu...
Ila leo sio tena bweche...............Karibu!
​
Unakula nini? Usiogope nimeshiba. . . . lolz
 
Unakula nini? Usiogope nimeshiba. . . . lolz

Nyie wenye vimiili hivyo huwa hamnitishi kabisa....
Ah hata hivyo nshamaliza ilikuwa bondo la dona kwa samaki wa kukaanga...
Na wewe ulikuwa wapi mda wote huo??
 
yaani tangu nimetoka ofisini nimejilaza kwenye kiti tu nasubiri ubwabwa wa kibachela, leo zamu ya housemate sijui hata kapika nini huko
 
Nyie wenye vimiili hivyo huwa hamnitishi kabisa....
Ah hata hivyo nshamaliza ilikuwa bondo la dona kwa samaki wa kukaanga...
Na wewe ulikuwa wapi mda wote huo??
Uwww one of my fav. . . tena huyo samaki awe perege.

Hahahaha wewe hapa kuna limwili, ukinikaribisha nionje unachokula ukidhani matonge mawili tu yatanitosha imekula kwako. Utalala njaa. . . . . .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom