Mwana JF tuambie...

Mwana JF tuambie...

hahahaahahahh lol
Jamani kwa hiyo Gozo asipewe sifa zake anazostahili...( ndo unachosema hapa Doto au )

Mpe kiasi, au umalizie kwa kabisa kwa kumwambia umekufa na kuoza kwake ili MHAMIE CHUMBANI.
 
mambo matamu hayataki haraka Doto...
out of all people I thought you would support me ..... I'm a bit sad now 🙁 lolz
 
na maelezo hapo juu hujaona aee..

hahahah mtoto wa kike unajua kusifia wewe yani mpaka mate yamenijaa mdomoni kwa utamu wa sifa ulizonipa...endelea kumwaga sifa mamii mpaka wenye wivu wajibebe kwa kitenge cha wax fek....
 
hahhaahahahahahah lol
ngoja tuwape nafasi ya kupumua kidoncho , wa absorb niliyosema
halafu tuwamwagie zaidi waonaje??
 
mambo matamu hayataki haraka Doto...
out of all people I thought you would support me ..... I'm a bit sad now 🙁 lolz
Hahahaha. . .sindo maana nataka mhamie chumbani jamani au?
 
hahhaahahahahahah lol
ngoja tuwape nafasi ya kupumua kidoncho , wa absorb niliyosema
halafu tuwamwagie zaidi waonaje??

aah kweli coz naona waja washaanza vijiba vya roho yani mtoto wa kike kunisifia kidogo basi imekuwa nongwa au wamesahau kwamba mwanamke akiwezeshwa anaweza??
 
Wanaohitaji kuwezeshwa ni walemavu pekee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom