Mwana JF tuambie...

Mwana JF tuambie...

Amyner

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
2,396
Reaction score
883
Habari za jioni wapendwa.. Hapa nilipo nakusanya makabrasha yangu tayari kwa kutoka kwa ofic kurudi nyumbani. Je wewe wafanya nini muda huu?
 
I am reading your post Amyner na kujifikiria kua ka wafanana na Radhia Sweety mrembo maarufu wa JF.
 
Nachangia post yako huku nakula, karibu.
 
I am reading your post Amyner na kujifikiria kua ka wafanana na Radhia Sweety mrembo maarufu wa JF.

hehehe mi ngoja nikapige picha mguu nije kuunadi...lol. Biashara ni matangazo..
 
Niko njiani natoka shamba, nasoma threads jf kupitia kasimu kangu!
 
nipo reception nalipia room guest hauz..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom