Mwana JF mwenzangu uko wapi muda huu?

nipo maeneo ya sinza sasa hivi na shemeji yenu...kwa baadae nitakuwa garden-bistro nikachek madem wa kidosi

ahaaaaa!habari za mufindi mkuu!pale ''shimoni'' bado kinadada wanafanya harakati zao zile?pole na baridi

Hahahaha!! kama kawa dada zetu wapo wanasema njoo tena. Baridi ni kwa sana mkuu.

Hao watoto mnacheza nao vipi wakati mnalewa?au nao ni washirika wa moja moto moja baridi?

Watoto wanapata vyoda hapa hawawezi kupata yale maji ya ilala

Nipo Keko mwanga nimelala. Uchumi hauniruhusu kutoka.

nipo dragonaire hapo moro karibun sana

habari za moro mkuu!usinikumbushe hicho kiwanja,nilimfumania dem wangu na mhadhiri wake wa mzumbe..ila sehemu nzuri sana ya kistarabu

Nipo Alaska hapa, karibu lumch inaanza msosi kwa fujo kuku na biscut .. .... ... hakuna EPL leo ningechukua ungo wangu hadi England.

Mwanaume umbea kusutwa suna ha ha ha

Nimefika home nimemaliza kula nasubiria papai ila afa yako nadhani naweza kughairi kula matunda nianze kumtafuta MJ one na LD nikajibembeleze maana Tf. Leo kashikiliwa mahali na Caroline Danz leo ndiyo amekamilisha lile deti lake.

habari za moro mkuu!usinikumbushe hicho kiwanja,nilimfumania dem wangu na mhadhiri wake wa mzumbe..ila sehemu nzuri sana ya kistarabu

yeah, ukimfokea mhudum unakatshiwa huduma, pole kwa fumaniz

nalala sasa baada ya kuwa kiwanja cha sarafina pande za dom kesho ibada ucku mwema wana JF!

nipo dragonaire hapo moro karibun sana

umenikumbusha viwanja vyangu nikiwa sua,wakati bum limetema. Nilikuwa nahudhuria mara 2 kwa mwaka. Kahumba vip?. Mizigo ipo?

Similar Discussions

Back
Top Bottom