Mwana JF mwenzangu uko wapi muda huu?

Mwana JF mwenzangu uko wapi muda huu?

Mi niko Temeke mtaa wa Yombonatafuta sehemu muruwa nitakayo weza kupata mdudu na viondoa mawazo.<br />
Je wewe uko wapi na unafanya nini?
<br />
<br />
Viondoa mawazo ndio vitu gani tena komredi Buji
 
Mkuu karibu hapa costbar mbezi tank bovu nakunywa kidogo!
 
Asee nimemeza quinine ya 12 hapa na madawa chungu mzima yaani nipo hoooi kitandani
 
nimegundua kuna watanzania wengi walevi....
 
Leo kila nikitaka kutoka dhamira inanisuta, hasa nikimwangalia maiwaifu wangu na hili tumbo la mwezi wa mwisho na siku kadhaa! Nimekata shauri sitoki ng'o. Nye nendeni...! Anastahili kampani moo zan eva!
 
Niko NBC club posta mpya nakula mbuzi choma, je wewe mwenzangu uko wapi na nani na mnafanya nini?
 
Ndio kwanza nimeingia ofisini kwa Mwana-JF mwenzangu hapa city centre, nimempitia ili tukapate lunch hapo Brk Point. Karibuni.
 
Dah! nipo mndenyi nakamua ngararimo na maziwa mtindi, mbege pembeni ur welcome natives.
 
Back
Top Bottom