Mwana JF mwenzangu uko wapi muda huu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwana JF mwenzangu uko wapi muda huu?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Sep 3, 2011.

1. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#1
Sep 3, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,263
Likes Received: 21,991
Trophy Points: 280
Mi niko Temeke mtaa wa Yombonatafuta sehemu muruwa nitakayo weza kupata mdudu na viondoa mawazo.
Je wewe uko wapi na unafanya nini?

2. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#2
Sep 3, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280
Nipo jf najibu sredi ya buji.

3. Sumbalawinyo

Sumbalawinyo JF-Expert Member

#3
Sep 3, 2011
Joined: Sep 22, 2009
Messages: 1,286
Likes Received: 25
Trophy Points: 0
Niko nyumbani na mama watoto na watoto wetu wawili, weekend huwa tunaitumia kwa kucheza na watoto wetu ambao huwa tunawaacha kuanzia jumatatu hadi ljumaa wakiwa na house maid.
Karibuni nyumbani kwangu mpate bia, l am very sorry sina jiko la kutengenezea nyama.

4. Sumbalawinyo

Sumbalawinyo JF-Expert Member

#4
Sep 3, 2011
Joined: Sep 22, 2009
Messages: 1,286
Likes Received: 25
Trophy Points: 0

JF ndio wapi?

5. Manyanza

Manyanza JF-Expert Member

#5
Sep 3, 2011
Joined: Nov 4, 2010
Messages: 4,446
Likes Received: 21
Trophy Points: 135
naelekea maeneo ya Livingstone Bar hapa Stone Town kupata moja moja then baadae naelekea zangu Kendwa rock kuna bonge la pati.

6. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#6
Sep 3, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280

pale pale.

7. Mr Rocky

Mr Rocky JF-Expert Member

#7
Sep 3, 2011
Joined: Oct 10, 2007
Messages: 15,177
Likes Received: 559
Trophy Points: 280
Niko home hapa nacheza na watoto
Bujibuji karibu sana hapa upate moja moto moja baridi

8. Mwendabure

Mwendabure JF-Expert Member

#8
Sep 3, 2011
Joined: Mar 10, 2011
Messages: 2,051
Likes Received: 277
Trophy Points: 180
Ndo nakatiza kwenye mataa ya hapa Boma Ilala. Nimo ktk Gobole la Mbagala-Kawe. Kitu kipo nyomi usiulize yani ni mtiti bin Shazi a.k.a mchongoma!

9. Mr Rocky

Mr Rocky JF-Expert Member

#9
Sep 3, 2011
Joined: Oct 10, 2007
Messages: 15,177
Likes Received: 559
Trophy Points: 280

Angalia tuu wasikuchomolee kisimu chako

10. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#10
Sep 3, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,263
Likes Received: 21,991
Trophy Points: 280

Nielekeze bwana mkubwa nije kuleta upendo palipo na chuki

11. Rejao

Rejao JF-Expert Member

#11
Sep 3, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 9,239
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Nipo Igunga..

12. b

bia JF-Expert Member

#12
Sep 3, 2011
Joined: Feb 9, 2011
Messages: 258
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
nipo kitandan naumwa,ndo dunia wengne mnaenjoy wengne hoi,its life

13. Mr Rocky

Mr Rocky JF-Expert Member

#13
Sep 3, 2011
Joined: Oct 10, 2007
Messages: 15,177
Likes Received: 559
Trophy Points: 280

Bahati mbaya uko mbali sana na nilipo
Nipo Arachuga na wewe Dar so mbalimbali
Ila karibu waweza kuja tuu

14. Mr Rocky

Mr Rocky JF-Expert Member

#14
Sep 3, 2011
Joined: Oct 10, 2007
Messages: 15,177
Likes Received: 559
Trophy Points: 280

Duh pole sana sana na tunakuombea upone salama

15. Wa Ndima

Wa Ndima JF-Expert Member

#15
Sep 3, 2011
Joined: Aug 13, 2010
Messages: 1,512
Likes Received: 39
Trophy Points: 145
niko kibanda cha simu nimejikinga mvua usiulize wapi usije niambia niihamishie Mtera bure!

16. mshikachuma

mshikachuma JF-Expert Member

#16
Sep 3, 2011
Joined: Dec 2, 2010
Messages: 2,853
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
umepata nafasi ya kukaa au umesimama kama mchongoma?

17. Mr Rocky

Mr Rocky JF-Expert Member

#17
Sep 3, 2011
Joined: Oct 10, 2007
Messages: 15,177
Likes Received: 559
Trophy Points: 280
QUOTE=Wa Ndima;2444009]niko kibanda cha simu nimejikinga mvua usiulize wapi usije niambia niihamishie Mtera bure![/QUOTE]

Aise si uihamishie mtera tupate umeme bana
We unakubalije inyeshe hapo isinyeshe mtera kule s

18. Mwendabure

Mwendabure JF-Expert Member

#18
Sep 3, 2011
Joined: Mar 10, 2011
Messages: 2,051
Likes Received: 277
Trophy Points: 180

Mkuu umejuaje? Nimekoswa hapa kona ya Taifa kibaka alitaka kujajwapua. Dah!

19. Mr Rocky

Mr Rocky JF-Expert Member

#19
Sep 3, 2011
Joined: Oct 10, 2007
Messages: 15,177
Likes Received: 559
Trophy Points: 280

Angalia usije ukakosa mawasiliano bure maana vibaka wanajua kuangalia mbaya na wana macho ya kuona mbali kinoma

20. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#20
Sep 3, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160
nipo kwenye usafiri wa jumuiya halafu nimekalia bansen burner (sehemu ya injini ambapo wanafunzi wengi wanakaa) naelekea maeneo ya mkwajuni..

Loading...