Mwana JF mwenzangu uko wapi muda huu?

Mwana JF mwenzangu uko wapi muda huu?

Mimi nipo reverbetween lakini baada ya mda naelekea Hongera!
 
nipo kigogo sambusa ninafurahia mbuzi Katoliki rost,+laga bardi. huku ninachungulia JF kuna nini kipya! story hapa ni mv spice.
 
Nipo primar club sinza makaburini,nimetoka Olympio sports bar sinza mori kucheki gemu ya madrid vs levante,madrid wameniboa sana wamepigwa kimoko
 
niko london bar hapa nakula beer kwa blue tooth navizua yule demu kwenye kibanda cha vocha niombe number
 
Niko mikindani nasubiria supu ya pweza hapa msemo hotel
 
Niko mwembe chai nimetokea mawasiliano tawa kumeet na member wa jf imefurahi sana.napata msosi hapa cafe ya mwembechai plazza.
Ni pooooo w w w wa
 
Niko home mwenzenu najaribu kumkumbushia mwanangu aliyojifunza shule, na je mnaweza kunijuza mwalimu wa hesabu wa darasa la kwanza aliyepo maeneo haya ya huku kwetu salasala, hesabu zinamsumbua mwanangu wa jf
 
Nipo makoa motel shinyanga..
Haka kamkoa kanaboaaa!
 
Niko Regent Estate kwa Rasta nasubiri mdudu namsubiri kwa Ndovu bariiiiiiidi
 
Back
Top Bottom