Mwana JF mwenzangu uko wapi muda huu?

Mwana JF mwenzangu uko wapi muda huu?

Natoka msasani club Beach na timu yangu nzima kama ilivyo niko maeneo ya kwa warioba naelekea home now!

Nipo Igunga..

Du, umeanza kampeni nini? RA anakufa na magamba safari hii (lakini nasikia mumempigia magoti na kulamba viatu vyake) yule ni mu Iran, kujitoa mhanga hakwii.
Kitendo cha dogo Nape kumtangazia kufukuzwa kilimuudhi sana. Na sasa kashikwa pabaya mbo na Msemakweli, DPP ana ushahidi, asipouanya kazi jamaa anaandika kitabu, this time both on line and hard copy.

Wa Ndima mbona halijajaa sasa wala maji hayajaongezeka pale
Na bado matatizo yanaendelea

Du, umeanza kampeni nini? RA anakufa na magamba safari hii (lakini nasikia mumempigia magoti na kulamba viatu vyake) yule ni mu Iran, kujitoa mhanga hakwii.

Kitendo cha dogo Nape kumtangazia kufukuzwa kilimuudhi sana. Na sasa kashikwa pabaya mbo na Msemakweli, DPP ana ushahidi, asipouanya kazi jamaa anaandika kitabu, this time both on line and hard copy.

Msemakweli is killing them slowly, Rostam, Manji, Mkapa, CCM and everybody behind the scene

umepata nafasi ya kukaa au umesimama kama mchongoma?

Nimekaa Mkuu! tena siti ya mwisho kabisa nyuma, maarufu kwa jina la chumbani. Kibaka kataka kukwapua kimeo changu hiki! Dah!

Niko baa ya midadi nakunywa pombe za kiasili................

Sehemu sehemu napata mishkaki ya firigisi!

Niko baa ya midadi nakunywa pombe za kiasili................

Baa ya midadi iko wapi? Mwanza, Arusha, Dar au wapi?
Kuna rubisi na 'nkonyagi' hapo?

Nipo nyumbani. Na bofya bofya kimeo changu.

nipo home so bored so lonely nahis ni JF tu itakayonipa furaha ya kweli maana nahisi upweke unanisumbua jamani lol hongereni nyie wenye furaha mioyoni mwenu maana mie mmh ...

Back
Top Bottom