Mwana FA amchana Sugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwana FA amchana Sugu

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mwita25, Aug 16, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm
   
 2. jcb

  jcb JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwani hapo awali alikuwa akishije? uliwahi mpa mavazi, malazi au kumgharamia matibabu mpaka uone kwamba hawezi ishi tena?
   
 3. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mwana fa ni mchumba tu kwa sugu ni mtoto mayai wa mama tu hajapata shida yoyote kwenye game kwake ilikuwa mteremko baada ya kukuta sugu amesaidia sana mziki wa tz ndo dogo akatia pua anatumiwa tu kwa kuendekeza njaa itakuuwa we mchumba sugu atakupa za uso ndo uelewe nini anakipigania!hawa ndo wale ambao walikuwa wanajipendekeza kwa sugu baada ya kushinda wakati wa kampeni walimtosa wanafiki wa kubwa wewe na wenzio wote!b?;'u;j;/
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Tangu lini Mwanafa na Ruge wakawa kila mtu?
   
 5. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,369
  Likes Received: 3,687
  Trophy Points: 280
  Ataishi kama mwanzo
   
 6. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 1,803
  Trophy Points: 280

  Simply SUGU HAJUI ANACHOKIFANYA .....
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kama vipi .... nipotezee

  i like that...
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mwanafa lazima aaongee hivi kwani tumuulize kilicho muondoa east coast ni nini? halafu akishatujibu tunamuuliza swali jengine wewe unategemea muziki au ajira uliyo nayo?

  na la mwisho lazima awe upande wa ruge kwani huwaanajikomba tu..
   
 9. R

  Richbest Member

  #9
  Aug 16, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Kuna watu wapo tayar kufanya lolote atakalosema sugu bila kuangalia
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mwana FA si anajikomba Clouds ili aendelee kuishi mjini ulitegemea atamtetea Sugu?
   
 11. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  hapa mkuu umegeneralize sana, kila m2 nani na nani wataje wengine tuwajua na hata ukiwataja hao bado kila m2 haitakuwa na mana ile ya kila m2 mana mie cjampinga sugu!!!!!!
   
 12. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Njaa mbaya Pole mwanaFA  N[​IMG]
   
 13. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hawa wote watoto wa sugu

  [​IMG]
   
 14. samito

  samito JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  yah kweli Mwana FA hamna kitu pale, ni njaa ndo zimempeleka kwa clouds, SUGU atabaki kuwa sugu!
  long live Sugu
   
 15. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Wakuulizwa kuhusu East Cost ni Gwamaka Kaihula na meneja wake walioanzisha kampuni ya East Coast.
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Aug 16, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Kweli Clouds wanawarusha roho!
   
 17. samito

  samito JF-Expert Member

  #17
  Aug 16, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wooooooow dogo anafundishwa mziki afu sa hivi anajifanya kunyanyua mdomo, ujinga mtupu
   
 18. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Ndo maana yake na sisi ndo tumemwingiza mjengoni kama vp mwingizeni na ninyi Ruge!
   
 19. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #19
  Aug 16, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  sugu ni sugu hawezi kuttetewa na watoto wa mama.
  wanamwita suguuu,
  wanamwita suguuu,sugu,sugu,suguuuu!
  wote hao walivalishwa tishet na buku tano wakati wa kampeni leo unategemea waseme nini?
  tumemwamini na tutaendelea kumwamini na rais wenu anamwamini ndio maana hajaongea kitu kuhusu shutuma za sugu.
   
 20. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #20
  Aug 16, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Kaka akijamba anaambiwa tu, watu wengine sio watumwa wa fikra kama wafuasi wa CDM.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...