Mwana FA amchana Sugu

Status
Not open for further replies.
images


Angalia mtu anachubua sura yake
unategemea nini?
Na wewe acha kuuliza wakati majibu unayajua kwa 100%
Kuchubua sura kwa mwanaume ni kutaka kufanywa mwanamke
 
Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm
<br />
<br />
wewe muongo mkubwas.acha kudanganya watu.jf siyo sehemu ya kulipizania visasi.nakuomba muache siasa za maji taka.watu wanakuja jf kupata habali za uhakika,sasa wewe kanini unapotosha?amemchanaje?sema.mia
 
Suala la sugu na ruge limeshakuwa namba tasa nadhani linahitaji ufananuzi na suluhisho la dhati tena la pamoja mezani toka pande zote tatu zinazohusika kuliko unafki nafki na ushabiki usio na tija,hivi wangapi wanaojua ukweli ni upi? Mi naona wengi wanadakia dakia tu na kulijadili kama wanavyojadili ahadi za ngono na wapenzi wao!
 
Kwani ugomvi wa JF na Clouds source yake nini? Ninyi si mnataka tuwe tunaambiana ukweli? Mezeni huu ukweli si wote wataiunga mkono CDM hata kama mtatumia mitandao yote duniani kuwatukana.
wewe ni mgonjwa wa kufikiri
masubiri yanakuwasha
 
Suala la sugu na ruge limeshakuwa namba tasa nadhani linahitaji ufananuzi na suluhisho la dhati tena la pamoja mezani toka pande zote tatu zinazohusika kuliko unafki nafki na ushabiki usio na tija,hivi wangapi wanaojua ukweli ni upi? Mi naona wengi wanadakia dakia tu na kulijadili kama wanavyojadili ahadi za ngono na wapenzi wao!
itabidi jioni nipitie dispensari haya maneno yanaumiza sana
 
Sugu nilikuwapo kabla ya F.M(clouds) kipindi hicho....
kuna kitu kimoja watu(clouds+fans wao) hawajajua huwezi zuia mvua... aah moto chini
 
Sugu is just bitter and disgruntled because his career wasn't going anywhere. He is a has-been who parlayed his notoriety that he gained from his anti-virus song into a successful run for his seat in parliament.

He ain't got what it takes to be a lawmaker. I predict he won't be re-elected. He is a big ole crybaby. Somebody get him a pacifier.
 
sugu moto chini bwana! anawakimbiza watoto wa mama kama mwana fa.anamtazamo wa mbali sugu,sugu upeo wake mkubwa jamani,sugu waziri wa mabongo fleva sasa pumba kama fa hawezi elewa sugu anapotetea maslahi ya wasanii kama yeye,kumiliki baby walker basi anaona ametokaa sana .mwana fa hanatofauti na wale watu wajinga wachache pale makongolosi waliohongwa tshirt na kofia wakapiga kura pasipokujua.sugu moto chini,huwezi ongelea muziki wakizazi kipya pasipo kutaja lijendari sugu,acha ufala we mtoto wa mama.
 
sugu moto chiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....huyo Nduka kuingiza uchadema kny hii thread inahuuuuuuuuuuuuuuuu???!!!!!
 
MwanaFA na Sugu wote wanaganga tu. Angalau Sugu hustle yake anaweza kuifake kama mpiganaji wa wananchi, huyo MwanaFA ndiyo kabisaa hanger-on wa Ruge.

Wabunge hatuna, wasanii hatuna, basi shida tupu.
 
sugu ni sugu hawezi kuttetewa na watoto wa mama.
wanamwita suguuu,
wanamwita suguuu,sugu,sugu,suguuuu!
wote hao walivalishwa tishet na buku tano wakati wa kampeni leo unategemea waseme nini?
tumemwamini na tutaendelea kumwamini na rais wenu anamwamini ndio maana hajaongea kitu kuhusu shutuma za sugu.
jamani eeh sugu ni waziri kivuli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom