Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,583
Labda ndio strategy ilomfikisha hapo alipo
Hapana hana mvuto huo. Watoto wa vigogo hao.
Labda ndio strategy ilomfikisha hapo alipo
Una hela wewe???
Mbona yeye kasoma na bado ana buzi! Tena analishirikisha kum support kaka kwenye harakati zake?
Hatujasahau Barrick Gold. Alipaswa kushauri kwa namna nyingine sio hiyo ya kebehi katika swala zito na linaloharibia maisha vijana
Hichi kiingereza au kiswahili ???
Hey! komeni nyie! mabuzi wa sasa hatuna magonjwa bhana njooni mtuchune migozi inatuwasha!Haaaa...na magonjwa ukiyapata buzi atakuja kukupeleka hospital tinna?yote mawazo mabaya bora uchakalike mwenyewe upate pesa yako..
Aisee wanahonga shilingi ngapi inaweza kuwa.biashara nzuri
Kwa staili hii who will our kids role models be?
Nimeogopa hadi manyoya ya mwili yamenisimama Kama vile nimepiga kiroba...Kweli kabisa bora buzi mwenzangu,,, coz hela ya buz haina riba wala marejesho ni ujanja wako tu na cash flow ni kubwa depending na quality of service u provide!!!
Si unajua anatoka familia ya kifalme..so hajawahi kulala na njaa wala hajawahi kukosa hela ya pedi...na neema zaidi ni kuwa hata PAPUCHI yake anauzia mamilionea..so mkuu usishangae..kuwa na kibriKauli ya kibri anaitoa huyo mwamvita
Parents should be. I am my child's real model; not role model.
I will never teach her to be a gold digger no matter what. I will never even hint to her that that is okay because there is not an ounce dignity or integrity in it.
Conversely, I will teach her the virtues of hard work so she can grow up to be a woman of independent means with a healthy sense of self-worth.
Kweli HOE , usemavyo uzoefu wake umemsaidia kuzungumza hayo na hata kakae umemsaidia kutumia papuchi yake .....