Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
please naomba direction na mazingira ya Simanjiro nipo DODOMA
Simanjiro ni wilaya inayopatikana Mkoa wa Manyara imepakana na wilaya ya Meru kaskazini.na mashariki inapakana na wilaya ya kiteto,,kusini mwa simanjiro imepakana na wilaya ya Kondoa inafikika ila ni barabara ya Vumbi kama upo dodoma unaweza kuja Arusha mjini alafu ukapanda gari za moja kwamoja kutoka Arusha hadi Kiteto zinapita hapo simanjiro mda wa masaa ma4_5 Nauli ya Arusha to Kiteto ni elfu 14 hivyo ya kufika simanjiro huenda ikawa hata elfu 12 au 13 ukitokea arusha...au kama upo dodoma pia waweza panda gari zinazoenda Kondoa pale stendi unaweza kupata gari pia za simanjiro ambazo huenda hadi Kiteto.mjini (kibaya) alafu zinaunga hadi simanjiro
Gari za kule nazofahamu ni
Kimotco
Machame
Coastline
(imara zaidi)
Mazingira ya kule bhana ni barid baridi na jamiii ya kule wengi ni WAMASAI hujishughulisha na ufugaji kwa wingi,,ulinaji wa asali,,uchomaji mikaa,,na kilimo pia.
Ndio hukohuko ni karibu na mererani wanapochimba madini ya Tanzanite
Kiufupi jiandae kuishi na Maasai people wako peace sana ukijua kuishi nao....ila ni chaka kimtindo kaka....