Meru ni wilaya inayipatikana.mashariki mwa jiji letu la Arusha barabara ya kwenda Moshi kilimanjaro wakazi wa meru hujishughulisha zaidi na.kilimo cha ndizi na mbogamboga kiufupi mboga za majani hutokea kule...
Kuna meru kaskazini ambapo ndo kuna vijiji around Mlima Meru na pia meru kusini ambapo hakuna miinuko kivile ambapo pia uwanja wa kimataifa wa ndege wa Kilimanjaro unapatikana
Mazingira ya huku ni baridi baridi andaa masweta....na blanket....
Kuna maeneo yanaitwa
Maji ya chai
Usariva
Ngarenanyuki
Kikatiti
King'ori
mbuguni (chaka)
Yanapatikana huko....
Kifupi hio ndio Meru jamii yakule kuna wamasai na wameru wenyewe korofi sana hawa watu..ukiwavuruga....
Kuna vivtutio kma
Arusha national park
Mount meru yenyewe
Ngurdoto crater
Momella lake
Karibu saana Arusha....
Kama huapataki na.unataka singida nijulishe tubadilshane....mana Arusha ndio nyumbani mimi....