MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

Sehemu nzuri sana na hasa kwa mtu mwenye ubongo Mpana kifikra atapiga pesa Mie nilienda mwakajana nimenunua mashamba kwa bei Ya kutupa vijana wa kenya wamejaa huko wanamaeneo makubwa sana wazawa tusibweteke kwa kutaka kurundikana kwenye miji mikubwa.

😄usihofu ndugu maisha ni popote
 
Mkuu kama wewe hujaoa maisha unaanzia popote tu
Ila huko kwa akina pinda wachawi wengi sana kuna sehemu panaitwa namanyere yaani hapo pombe ni ngongo tu!
 
Nashukuru mkuu, gari gani zuri kwa safari, na nauli ni kiac gani
 
Ni siku Mbili mkuu unatoka hapa na basi la moja kwa moja kutoka dar to sumbawanga ambapo saa nne usiku utaingia sumbawanga utawala pale asubuhi utaanza safari Ya Mpanda ambapo nikama masaa manne au matano Hivi
asante, lauli ni kiasi gani
 
Ukitoka dar unalala mbeya.asubui unapanda la sumbawanga mnafika saa sita swanga then mnaanza safari ya wenda mpanda matafika saa mbili usiku.kama hauna ndugu yoyote mpanda lala gesti moja inaitwa ambassadar ni nzuri bei ni 15000.i wish u good journey .
 
asante, lauli ni kiasi gani

Nauli ni 60000 mpaka sumbawanga Nadhani yapo mabasi matatu Mie mara nyingi Huwa napanda magari Ya IT yanayoenda Na Huwa nasafiri usiku. So kwa mambo Ya Aina Ya basi labda pitapita ubungo
 
Ukitoka dar unalala mbeya.asubui unapanda la sumbawanga mnafika saa sita swanga then mnaanza safari ya wenda mpanda matafika saa mbili usiku.kama hauna ndugu yoyote mpanda lala gesti moja inaitwa ambassadar ni nzuri bei ni 15000.i wish u good journey .
Ramani hiyo itamtesa kumbuka ajira inayompeleka ni ualimu
 
kuna jamaa mwingine amenishauri nipande basi la DAR-SUMBAWANGA, nilale then mpanda kesho yake, inakuwaje hapo
 
Nauli ni Kama 74000 ivi mkuu usiogope mpanda Pako poa, umepangiwa mjini or kijijini?
 
Hiyo ndo njia safe.usipite tabora maana wakati huu ni masika mtakwama njiani.
 
Kumbuka ukifika mpanda sio kama ndo kituo chako cha kazi unaweza pangiwa mbali na hapo mfano Kata za Mwese kilometa 125 toka mpanda.au ikola kilometa 130 toka mpanda na kwingineko
 
kuna jamaa mwingine amenishauri nipande basi la DAR-SUMBAWANGA, nilale then mpanda kesho yake, inakuwaje hapo
Basi la moja kwa moja Dar Sumbawanga ni moja tu, Majinja.

Unatoka Dar saa kumi na mbili sumbawanga saa tano mpaka saa sita usiku, siku ya pili unachuku gari ya mpanda ni mwendo wa masaa matatu hadi manne.

Vile vile unaweza ukapanda basi lolote la Dar-Mbeya ukalala Mbeya, siku ya pili unapanda basi la Denjera inaruti ya Mbeya -Mpanda kila siku.

Chaguo lako.!
 
ok, asanteni sana kwa ushauri. naona bora kulala mbeya kuliko kufika sumbawanga usiku sana ukizingatia mm ni mgeni wa njia hiyo
 
Basi la moja kwa moja Dar Sumbawanga ni moja tu, Majinja.

Unatoka Dar saa kumi na mbili sumbawanga saa tano mpaka saa sita usiku, siku ya pili unachuku gari ya mpanda ni mwendo wa masaa matatu hadi manne.

Vile vile unaweza ukapanda basi lolote la Dar-Mbeya ukalala Mbeya, siku ya pili unapanda basi la Denjera inaruti ya Mbeya -Mpanda kila siku.

Chaguo lako.!
naomba unijuze nauli ya mbeya - mpanda
 
Ni siku mbili..kama ikitokea bahati mbaya safarini, ongeza siku ya tatu.

Ila usidhani kila anayekujibu ni mwalimu mwenzio, wenginne wamachinga tu ila huko ndio kwetu!
 
Mimi Huwa mida kama hii nasogea ubungo napata IT pale 25000 tu mpaka tunduma nasafiri na wazambia wanaosafirisha magari kwenda Zambia au Zimbabwe na Kongo then saa moja na nusu au saa mbili nakuwa tunduma.
 
Back
Top Bottom