ungejua watu wanahonga pesa nyingi ili wahamishiwe moshi usinge shoboka hivo kwanza hakuna baridi unayo ifikiri
moshi kuzur sanaaaa watu wanapakimbilia
Mwanitisha mazee!!
mm npo mosh mjn pia
unataka kujua nn aswa?kuna kabila la wajaluo kwa wingi samaki na chakula kikuu ni ugali wa mtama uliochanywa muhogo,na ni wakorofi