Kila la heri...!
ni wilaya peke.ya mkoa.wa Ruvuma ambayo haina barabara za Rami...karibu kwetu
Dah... Nilishawahi ishi huko... Miaka ya 98 tukahama...maisha ya kule ilikuwa ni shida sana...kama ni mnywaji wa pombe...pombe aina ya tembo inapatikana kwa sana...ila hope now mambo yatakuwa yamechange sana...Nenda kapige kazii
Gharama za maisha zipo chini hasa misosi maana wayao wanalima sana mpunga,viazi na hata mahindi. Kuhusu barabara usihofu sana maana ujenzi unaendelea kwa kasi.
Maji na umeme vya kumwaga.Sijawahi kuishi Tunduru but huwa napita kikazi tu
Mim hapa jaman from dar to kg
karib sana, mbeya na mm nimepangwa huko m ni mwenyej wa mbeya mjin ila napafaham ni pazur
Kyela kubwa, umeshapangiwa shule??
Shule gani?
Kila la heri.
ahsante,shule hawajanipangia!
Hongera sana, nahisi umefurahia kuliko ungepelekwa Lali au Ibaba huko.
Hongera sana, nahisi umefurahia kuliko ungepelekwa Lali au Ibaba huko.
ahsante mkuu!Kyela kwetu joh mitaa yote napajua vijij mpaka mapoli uzuri wa kyela hakuna kijij kilicho mbali mjini
Mkuu umeme upo kwel-? mana nimeskia haupo et ni jenereta hapa nimeandaa karabai na mishumaa yakutosha
ndugu kwa anaepajua biharamulo anipe experience kidogo pakoje? watu wake,miundombinu,uchumi nk.