MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

Dah... Nilishawahi ishi huko... Miaka ya 98 tukahama...maisha ya kule ilikuwa ni shida sana...kama ni mnywaji wa pombe...pombe aina ya tembo inapatikana kwa sana...ila hope now mambo yatakuwa yamechange sana...Nenda kapige kazii
 
Hiyo ndiyo sifa niliyopewa na watu wote wanaokujua Moshi ila kweli kabisa naona hakunifai mimi pamoja na uzuri wake..Ikiwa unafahamu tena ukanielekeza namna ya kufika makao makuu ya hiyo wilaya especially ofisi ya Mkurugenzi nitashukureu sana..

Ukitaka mtu wa kubadilishana naye watakuja wengi mpaka utawakimbia
 
Much love,mkuu..Nimekupata vizuri..Wakat mwingine naweza kuihitaji namba yako ya simu kwa mawasiliano zaidi kama hutajali..
Shaka ondoa baba angu,hapo umefika kwa mangi aliyefika UN kudai uhuru kabla ya Nyerere.Utakula nchi mpaka upige keleuuuuwi!
 
Gharama za maisha zipo chini hasa misosi maana wayao wanalima sana mpunga,viazi na hata mahindi. Kuhusu barabara usihofu sana maana ujenzi unaendelea kwa kasi.

Maji na umeme vya kumwaga.Sijawahi kuishi Tunduru but huwa napita kikazi tu
 
Dah... Nilishawahi ishi huko... Miaka ya 98 tukahama...maisha ya kule ilikuwa ni shida sana...kama ni mnywaji wa pombe...pombe aina ya tembo inapatikana kwa sana...ila hope now mambo yatakuwa yamechange sana...Nenda kapige kazii

Ya change wapi??????
vile vile.
 
habari zenu wakuu naomba kujuzwa kuhusu wilaya ya kyela iliyoko mbeya ,kwa anaye pafahamu msaada pliz!
 
Guys, plz nahitaji mtu wa kunipa details angalau kdg kuhusu SHULE YA MURANGI na eneo husika umbali wake kutoka town na vp kuhusu nyumba za kupanga na huduma za jamii.. Plz!!

Pako vizuri tu.
Hata usijali Sana Ila changamoto hazikosi.
Kazi njema!
 
Kyela kwetu joh mitaa yote napajua vijij mpaka mapoli uzuri wa kyela hakuna kijij kilicho mbali mjini
 
Wapendwa,,kwa neema ya Mungu ajira amazo wengi wetu tumekuwa tukizisubiri zimetoka sasa..Mimi ni mmoja wao waliopangwa kwenye wilaya hiyo inayoitwa Moshi Dc mahali ambapo sikuwaza kuwa nitaenda katika uhai wangu hata siku moja ila ndo hivyo sina jinsi..Ukiondoa taarifa ya kuwa Kilimanjaro ni mkoa wenye baridi sina taarifa yoyote ile ambayo inaweza kuwa msaada kwangu mimi..Tafadhali,mwenye kuijua vizuri hiyo sehemu anielekeze vizuri..Pamoja na hayo,wale waliopangwa Lindi Mjini au Mtwara Mjini na ungependa urudi kwenu Moshi,waweza wasiliana nami maan kwa kweli afya yangu hairuhusu kuishi sehemu yenye baridi..Niwatakie wakati mwema..

Acha uoga dogo....nenda kapige mzigo!
 
Back
Top Bottom