X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,719
- 14,847
kazi njema ndugu MUNGU awe nawewe
ni mmo1 wapo, bt cjui chochote kuhusu arusha dc
Waliopangiwa Geita, wilaya ya Bukombe, au mtu yeyote yule anayeifahamu vizuri hiyo wilaya aniisaidie
Kifupi, ni wilaya magumashi na mpaka sasa haina umeme wilaya nzima. Maisha ya shida but yako chini.
Mim hapa jaman from dar to kg
natafuta wenzangu walopata kigoma
kigoma kasulu dc nipe habari zake
jamani eti dc na tc tofauti nini?
Vijiji vyake vipoje?
Mimi ni mkazi wa mpanda kuna mitandao mikuu mitatu Airtel,Vodacom na tiGo pia,kwahio kuwa na amani Mkuu
hongera nilikua huko last wk kwa kijana mwenye malengo pako powa sana,panda nbs bus dar to tabora naul40 utafka sa1 ukifka tbr tafuta air bus la kwenda mpanda tsh20 utafka sa 8 or 9kama mvua itakua haijanyesha. njia ya mbeya ni ndefu bt kaza moyo konde ni mbal na njia so nzur kivilekichwa cha habari cha husika, naombeni msaada tafadhali
Igunga tabora nafikaje wakuu
Igunga tabora nafikaje wakuu