MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

Jamani mm jina langu limeonekana kwa walimu wa sayansi phy na math japo mm nimesoma art geog na eng na nimepangiwa Same, je naweza kwenda kuripot hivyo hivyo? na pia anaeifaham same hasa hiyo shule ya Kazita naomba anipe mwanga kidogo. Ntashukuru.

Nenda tu karipoti Mkuu wa shule ataangalia kama anakuhitaji au akutudishe kwa mwajiri lakini mshahara utakuwa unaanza kutiririka. Hongera kwa kupata kazi, na take care wadogo zetu
 
Mwanza siyo mwenyeji best.Mi nyanda za juu kusini MBEYA LINE ,Nafanya mishe nipate wa kubadilishana kituo cha kazi .Niende Mbeya yeye aje SAME.
 
Mkuu shule ni ya kata ipo kawaida tu sema jipange na baridi pamoja na vilima
 
nawaona tu mnacfia ata hamtoi ubaya wa baadh ya maeneo, et hakuna vijij vilvo mbal na mjin, kweel? bro angu anafundsha nyasa lake shore sec ipo matema ni beach kabsa ila nyumba za kupanga zenye umeme ni chache sn na mboga ukchelewa kununua ambazo ni samak kwa wing kuanzia asbh ad sa5 asbh ndo hupat mboga zaid ya mayai ya kisasa, af ni sehem ya utalii ko samak wazur wote bei juu ukilngansha na kyela mjin, ukpata kyela mjin baba hutajuta ila ka kijjn cdhan, mpiganaj hachagui pori kapge kaz, mi zang bunda mara ka kuna m2 anaijua afunguke
 
ukiwa mwalim mpya na unataka kufaham baadh ya mambo hapa wilayan niulize. kwa ufupi ni wilaya nzur kabisa utaipenda. karibuni sana. msisahau pia mnaotaka wa kubadilisha wako weng sana kwenda Dom Moro Singida Iringa Mwanza Shinyanga nk

Shinyanga ikoje jaman!
Hii hatar sana aisee
 
Back
Top Bottom