Mwalimu Nyerere na mama yake

Mwalimu Nyerere na mama yake

Bibi Mgaya ndiye alikuwa mama yake Mwalimu Nyerere, na mara nyingi alikuwa anaongea naye.
Na sisi familia, kwa kweli hatufahamu kizanaki. Na mimi hata leo Wazanaki wanaweza kuongea hapa mbele yangu nisijue wanaongea nini

Na hili jambo lilikuwa linamshangaza Mwalimu. Anasema," Hawa watoto kweli ndio wa Tanzania ya leo. Yaani hata Kizanaki hawajui.

Lakini ingawa hatujui Kizanaki ilikuwa tunaelewa Bibi Mgaya anaongea nini. Bibi Mgaya alikuwa anamgombeza Mwalimu ( " kugombeza",nadhani ndio the correct word here). Anamwambia, "Tatizo lako huna foresight. Huwezi kufikiri kwamba nikifanya hivi, matokeo yatakuwa haya."

Kwa hiyo ataongea namna hii, maybe for half an hour, Mwalimu amesimama, anasikiliza attentively.

Mara nyingi, countless times, tumemsikia Bibi Mgaya anamwambia Mwalimu "Kwa nini huna foresight katika maamuzi yako?"

The reason why I say this ni kwa sababu nimefika juzi kutoka Butiama, na naona kwamba mimi pia sina foresight katika mambo ninayosema na kufanya. I ask myself why is this so?

Au ni kwa sababu I forgot to take the massive rock crystal.

Yes, dear reader, I have this massive rock crystal, katika pilika pilika za safari,I forgot it there.
Crystal, ni kama divining stone.

I am sure you have noticed, wapo " manabii" wengi sana. Wanasema,"Mwezi ujao balaa itatokea." I think you have noticed kwamba 99.9 per cent of the time,they are just speaking lies. It is because they don't have a crystal ball. Nawashauri watafute crystal ( ulanga) .

Na Ile crystal sijui niliisahau vipi. Na kama niliisahau, Ina maana nikienda nitaikuta ipo pale.
Hi kesi sasa imeshakuwa ngumu aitwe Steve Nyerere naye atoe maoni yake.
 
Kwahiyo wanataka wakupeleke wapi wakisha naku arrest?
Usiamini kila kitu asemacho huyu kaka yetu mkubwa, hata mimi hapa juzi kati, alinituhumu eti nimemtishia kumu arrest,
Hali ilikuwa hivi
Pascal hayaoni haya mambo yote yanayotokea?
Poppy Poppy Hatonn
kwa vile wewe mimi nakujua, na naijua hali yako, lengo la mimi kukutafuta ni kukusaidia tuu
Pascal Mayalla anasema kwamba , with a smile on his face,atawatafuta familia yangu,,atawashauri kwamba mimi ni dangerous lunatic, lazima nipelekwe mental hospital.
Haya nimeyasemea wapi?
Na,anawaonya familia yangu,he will not take " no" for answer.
Mimi ni nani na kwa uwezo gani kuwaonya The First Family most respected in Tanzania?
Kwa sababu kama wakikataa suggestion yake,he will arrest them all.
Yaani mimi ni chombo cha dola au mamlaka to arrest?
hatimaye lile bandiko mode wakaliona na kumsaidia kaka yetu!, kiukweli JF modes wanasaidia sana!.
P
 
Asante kwa simulizi hii ya Bibi Mugaya, haya ndio mambo mimi ninayomtafutia Madaraka, to preserve some rhetorics za Mwalimu za fashion simulizi ziwe digitized for preservation kwa vizazi vijavyo.

It's good to know watoto wa Mwalimu ,baba na mama ni kabila moja halafu bado watoto hawajui kuongea kiluga chao!.

P
Wewe kisukuma kinapanda?🤣🤣
 
Usiamini kila kitu asemacho huyu kaka yetu mkubwa, hata mimi hapa juzi kati, alinituhumu eti nimemtishia kumu arrest,
Hali ilikuwa hivi

Poppy Poppy Hatonn
kwa vile wewe mimi nakujua, na naijua hali yako, lengo la mimi kukutafuta ni kukusaidia tuu

Haya nimeyasemea wapi?

Mimi ni nani na kwa uwezo gani kuwaonya The First Family most respected in Tanzania?

Yaani mimi ni chombo cha dola au mamlaka to arrest?
hatimaye lile bandiko mode wakaliona na kumsaidia kaka yetu!, kiukweli JF modes wanasaidia sana!.
P
😄😄😄
 
Hakuna kibaka atanidhuru kwa sababu nimemwita kibaka.

Kama hataki nimwite kibaka aache kuwa kibaka.

Commander Hatonn anasema let us work according to the laws of God and the laws of the politicians.
Anasema even the most evil ruler on Earth will change to Good if you keep on insisting on your rights.
 
Back
Top Bottom