Kwa hiyo nikaota ndiyo nimekwenda kwa Putin for supper.
Vitukuu wake wapo pale.
Nilikuwa nimevaa suti approaching the dinner table.
Nimealikwa ndiyo, lakini nilikuwa sina hakika kwamba nimealikwa for supper and I wondered if I was overreaching myself.
Nilikuwa nimefikia kwenye hostel sasa naenda Kwa Putin.
Putin ananiambia," One thing I have noticed,wewe Andrew, una suruali mbili tu. Sasa,you know what I will do? Nitafunga mashine ya solar hapa,halafu ukifika,unaweza kuifua Ile nguo yako moja,halafu wakati inakauka utavaa Ile nyingine."
Namwaambia hii mashine kwa nini usiifunge kule kwenye hosteli.
Anasema,ah,kule kwenye hosteli tumekuweka tu, lakini we don't own that place.
Halafu ananialika chakula,kimepikwa, lakini anakuwa a bit embarrassed,kwa sababu it is a little bit poor quality,that food.
Kwa hiyo it means Putin anaangaza huku na huko duniani kutafuta resources for his country.
Crazy dreams. Dreams are indeed illusion.