Chwichwi
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,859
- 1,266
lugha ni moja ila wanatofutiana matamshi, lugha urithiwa jifunze lugha yakoBaba mzanaki, mama msimbiti. Kabila tofauti na lugha tofauti.
lugha ni moja ila wanatofutiana matamshi, lugha urithiwa jifunze lugha yakoBaba mzanaki, mama msimbiti. Kabila tofauti na lugha tofauti.
Rudia kusoma na usome taratiibu sana utaelewa.Anaelewa hapa kinaongeleka nini anisaidie tafadhali
kiongezea na garlic 🧄 moja mambo yatakuwa okay 👍Next time when you forget your defining crystal, don't worry, tafuta tuu punje mbili tatu za chumvi ya mawe, weka mfukoni utakuwa OK.
P
Hapana Mama Maria sio mzanaki,ni mtu wa kinesiAsante kwa simulizi hii ya Bibi Mugaya, haya ndio mambo mimi ninayomtafutia Madaraka, to preserve some rhetorics za Mwalimu za simulizi ziwe digitized for preservation kwa vizazi vijavyo.
It's good to know watoto wa Mwalimu ,baba na mama ni kabila moja halafu bado watoto hawajui kuongea kiluga chao!.
P
Nenda Ulanga utapata ulanga.Mkuu hiyo crystal inapatikana wapi? Na inatumika kufanyia nini
Lakini enzi zile ukiolewa ukakaa kijijini hauwezi Kuacha kuelewa lugha za wakweBaba mzanaki, mama msimbiti. Kabila tofauti na lugha tofauti.
Waliofuatia walikatazwa kubadili huo mfumo , ili wakamilishe Kwa kuwa wao walikuwa na foresightUnataka uachieve nin na wakati mfumo uleule mbovu aliouacha huyu mzee wenu ndio unaendelea kutumika??
Watabadilishaje mfumo na wakati wao ni zao la mfumo unaowanufaisha wachache?HUYO Nyerere amefariki 1999, mfumo wa vyama vingi vya Siasa umekuja 1992 na bado HUYO mzee wenu hakuona umuhimu WA kuwapa wananchi katiba mpya itakayowapa UHURU WA kuchagua VIONGOZI wanaotaka na sio wanaopendekezwa na CCM..Mind you Mwinyi amekua raisi baadae ya Nyerere Katika mfumo wa chama kimoja mpaka alipoondoka madarakani..HUYO mzee wenu ni overrated na ndio chimbuko la uovu wote huu WA CCM..wanaotaka kubadili mfumo NI WENGI mno Na hata enzi za uhai wake huyohuyo Nyerere aliwasweka ndani ,kama ilivyo Leo Kwa wakina lissu ..He is overrated and narcissistic, had nothing specialWaliofuatia walikatazwa kubadili huo mfumo , ili wakamilishe Kwa kuwa wao walikuwa na foresight
He never killed hundreds of people as they have done and still doing.Watabadilishaje mfumo na wakati wao ni zao la mfumo unaowanufaisha wachache?HUYO Nyerere amefariki 1999, mfumo wa vyama vingi vya Siasa umekuja 1992 na bado HUYO mzee wenu hakuona umuhimu WA kuwapa wananchi katiba mpya itakayowapa UHURU WA kuchagua VIONGOZI wanaotaka na sio wanaopendekezwa na CCM..Mind you Mwinyi amekua raisi baadae ya Nyerere Katika mfumo wa chama kimoja mpaka alipoondoka madarakani..HUYO mzee wenu ni overrated na ndio chimbuko la uovu wote huu WA CCM..wanaotaka kubadili mfumo NI WENGI mno Na hata enzi za uhai wake huyohuyo Nyerere aliwasweka ndani ,kama ilivyo Leo Kwa wakina lissu ..He is overrated and narcissistic, had nothing special
Mzee na wewe ni mtu wa Meditation?Umeweza Ku access astral plane? Kupitia third eye?Crystal ni madini yoyote ya vito, ambayo yamejipanga kwa strata, hata ulanga ni crystal, hata chumvi ya mawe , chumvi na sukari ni crystal, hata stalactites na stalagmites ni crystals, kwa sisi watu wa meditation, crystals zinatumika for holistic and wellness for meditation na japo vito vingi hutumika as decorative items lakini pia huleta positive energy vikitumiwa vizuri na majanga vikitumiwa vibaya!, mimi wakati naoa nikiwa kijana na jeuri ya pesa, nikamvisha mtu engegment ring ya diamond, masikini mimi sikujua kuwa kumbe sio kila mtu anajivalia tuu diamonds kwasababu anaweza ku afford, akivaa diamond, ni majanga!.
P
Kwahyo unataka kusema kwa tafsiri ya akili yangu ndogo alimaaanisha hiviMwamba yuko smart, lugha ngumu kutumia. Hadhira twapoteana, yeye twamuita mlevi.
Yeye aita Tz familia ya Nyerere, wajinga wakomaa na famia ya Nyerere.
Naunga mkono hoja, siku zote, the first born ndio huwa the chosen one anayebeba hatima ya familia, lakini Mungu huweza kumchagua mtoto mwingine yeyote ndie akawa the chosen one, hata Isaka sio mzaliwa wa kwanza wa Nabii Ibrahim, mzaliwa wa kwanza ni Ishamel, lakini Isaka ndie aliyebeba hatma ya ukoo. Hata kwa Isaka, mzaliwa wa kwanza ni Essau, na sio Yakobo, likapigwa bao la mkono, Yakobo akabeba hatma. Hata kwa Yakobo mzaliwa wa kwanza ni Yuda, lakini aliyebeba hatma ya familia ni Yusufu. Hata kwa familia ya Burito, japo haisemwi popote, kuhusu watoto wengine wa Chief Burito, ila Mugaya ndie alikuwa mke mdogo kati ya wake 22 officials, pia Makongoro aliwahi kutaja idadi ya concubines wa babu yako, mimi niliwahi kuuliza humu, Baba Mzazi wa Mwalimu Nyerere, Chief Burito alioa wake 22. Je, alikuwa na Watoto Wangapi? japo sikupata majibu yoyote straight, lakini Julius hakuwa mtoto wa kwanza wa Chief Burito, lakini ndie the chosen one aliyebeba hatima. Nyerere akitangazwa Mtakatifu, nyie watoto wake wote mnatakasika na utakatifu wa baba yenu, mtu akiokolewa anaokolewa na uzao wake wote, hivyo hata wewe, japo ni ni first born, lakini hatima ya familia ya Nyerere, haiko mabegani kwako, ila sasa at 73, just rejoice, nafasi yako peponi is already secured, uungame usiungame ni umetakasika.Kumbe ni sawa kama mimi pia ambaye ni mkubwa wa Familia ya Nyerere nikiungama dhambi zangu na dhambi za familia.
Ni kweli unaandika public baadhi ya vitu vya family ambayo they should have been private family matters, hakuna aliyesema unaandika vitu vya uongo, bali vitu vingine unavyoandika ni vitu vya kufikirika tuu, imagination, they don't exist in reality, na mfono mzuri ni nilipokuambia kuwa mimi namtafuta Madaraka kwa issue yangu fulani, ulichofanya ni kunianzishia uziKwa hiyo it is a joke kusema kwamba mimi naandika vitu public, ati naandika mambo ya uongo kuhusu familia
Poppy Poppy Hatonn , nilikuambia nitamtafuta Madaraka kwa issue nyingine kabisa wala haikuhusu wewe!.Pascal hayaoni haya mambo yote yanayotokea?
Haya nimeyasemea wapi?, kumlisha mtu maneno ambayo hajayasema ni uzushi.Pascal Mayalla anasema kwamba , with a smile on his face, atawatafuta familia yangu,,atawashauri kwamba mimi ni dangerous lunatic, lazima nipelekwe mental hospital.
Mimi ni nani na kwa uwezo gani kuwaonya The First Family most respected in Tanzania?!Na,anawaonya familia yangu,he will not take " no" for answer.
Yaani mimi ni chombo cha dola au mamlaka to arrest?, mimi sio polisi, sio dola, siwezi kumuarrest mtu yoyote,Kwa sababu kama wakikataa suggestion yake, he will arrest them all.
Hii japo ni family matter, kama ni kweli wametishia to kill you, then its a police case, unapaswa uripoti kunakohusika.na actually watu wametoka outright, wametsmka outright kwamba they want to kill me, thus furnishing proof kwamba niliposema nataka kutoka kwenye familia ya Nyerere I was quite correct.
Kwa hili nakuunga mkono, yaani hata tuu hiyo makumbusho ya Nyerere ingefanyika marketing, watalii wangefurika, na akiisha tangazwa Mtakatifu, the pilgrimage multitudes kwenye kwenye kaburi lake, izijengwe hoteli tatu hapo za 5 star, 3 star na 1 star, muwekewe air strip, take it from me the traffic will sustain the family and all the prince and princess would live the royal life.Matatizo mengi yanatokea hapa katika familia ambayo yangezuiwa yasitokee hata hizo ruzuku za serikali tusingezihitaji.
Mimi sio mtu wa meditation, ni Mkirsto Mkatoliki, ila wakati nikiishi New Dhehli nilisoma falsafa ya Buddhism ya Hindu na Tibet kwa Dalai Lama nikaandika humu, japo naandika sana lakini si practice mambo ya astral wala opening third eye, ila hilo jicho ninalo kupitia the voices from within na huo uwezo kila mtu anao sio lazima kupitia meditation.Mzee na wewe ni mtu wa Meditation?Umeweza Ku access astral plane? Kupitia third eye?