Huwezi kumwelewa km uliishia darasa la nne😁.Huyu mzee wamnyanganye simu sasa maana vitu anaandika sio kabisa.
Mmefeli nyie wenyewe acheni kumpa lawama, Mzee kaondoka madarakani 80's hadi leo nini kipya mmefanya?Mwalimu hakua na foresight kwa hakika..yule mzee amelifelisha sanaa taifa kwa sera zake za ujamaa na siasa za kuogopa dola
Bro hata kama kijana anajimwambafaiAsante kwa simulizi hii ya Bibi Mugaya, haya ndio mambo mimi ninayomtafutia Madaraka, to preserve some rhetorics za Mwalimu za simulizi ziwe digitized for preservation kwa vizazi vijavyo.
It's good to know watoto wa Mwalimu ,baba na mama ni kabila moja halafu bado watoto hawajui kuongea kiluga chao!.
P
So unatuambia wa waheshimu sana bloodlineKwa hiyo nikaota ndiyo nimekwenda kwa Putin for supper.
Vitukuu wake wapo pale.
Nilikuwa nimevaa suti approaching the dinner table.
Nimealikwa ndiyo, lakini nilikuwa sina hakika kwamba nimealikwa for supper and I wondered if I was overreaching myself.
Nilikuwa nimefikia kwenye hostel sasa naenda Kwa Putin.
Putin ananiambia," One thing I have noticed,wewe Andrew, una suruali mbili tu. Sasa,you know what I will do? Nitafunga mashine ya solar hapa,halafu ukifika,unaweza kuifua Ile nguo yako moja,halafu wakati inakauka utavaa Ile nyingine."
Namwaambia hii mashine kwa nini usiifunge kule kwenye hosteli.
Anasema,ah,kule kwenye hosteli tumekuweka tu, lakini we don't own that place.
Halafu ananialika chakula,kimepikwa, lakini anakuwa a bit embarrassed,kwa sababu it is a little bit poor quality,that food.
Kwa hiyo it means Putin anaangaza huku na huko duniani kutafuta resources for his country.
Crazy dreams. Dreams are indeed illusion.
Ninakumbuka pale kijijini pao Mwitongo aliwapa shida walinzi kwa kuwatuma wakamletee ile kinywaji pendwa isiyoruhuwa.Bibi Mgaya ndiye alikuwa mama yake Mwalimu Nyerere, na mara nyingi alikuwa anaongea naye.
Na sisi familia, kwa kweli hatufahamu kizanaki. Na mimi hata leo Wazanaki wanaweza kuongea hapa mbele yangu nisijue wanaongea nini
Na hili jambo lilikuwa linamshangaza Mwalimu. Anasema," Hawa watoto kweli ndio wa Tanzania ya leo. Yaani hata Kizanaki hawajui.
Lakini ingawa hatujui Kizanaki ilikuwa tunaelewa Bibi Mgaya anaongea nini. Bibi Mgaya alikuwa anamgombeza Mwalimu ( " kugombeza",nadhani ndio the correct word here). Anamwambia, "Tatizo lako huna foresight. Huwezi kufikiri kwamba nikifanya hivi, matokeo yatakuwa haya."
Kwa hiyo ataongea namna hii, maybe for half an hour, Mwalimu amesimama, anasikiliza attentively.
Mara nyingi, countless times, tumemsikia Bibi Mgaya anamwambia Mwalimu "Kwa nini huna foresight katika maamuzi yako?"
The reason why I say this ni kwa sababu nimefika juzi kutoka Butiama, na naona kwamba mimi pia sina foresight katika mambo ninayosema na kufanya. I ask myself why is this so?
Au ni kwa sababu I forgot to take the massive rock crystal.
Yes, dear reader, I have this massive rock crystal, katika pilika pilika za safari,I forgot it there.
Crystal, ni kama divining stone.
I am sure you have noticed, wapo " manabii" wengi sana. Wanasema,"Mwezi ujao balaa itatokea." I think you have noticed kwamba 99.9 per cent of the time,they are just speaking lies. It is because they don't have a crystal ball. Nawashauri watafute crystal ( ulanga) .
Na Ile crystal sijui niliisahau vipi. Na kama niliisahau, Ina maana nikienda nitaikuta ipo pale.
Hahahahaha ngosha ngw'angaloka namhala wane welaga shiza ukwenuko?Asante kwa simulizi hii ya Bibi Mugaya, haya ndio mambo mimi ninayomtafutia Madaraka, to preserve some rhetorics za Mwalimu za simulizi ziwe digitized for preservation kwa vizazi vijavyo.
It's good to know watoto wa Mwalimu ,baba na mama ni kabila moja halafu bado watoto hawajui kuongea kiluga chao!.
P
Asante kwa simulizi hii ya Bibi Mugaya, haya ndio mambo mimi ninayomtafutia Madaraka, to preserve some rhetorics za Mwalimu za simulizi ziwe digitized for preservation kwa vizazi vijavyo.
It's good to know watoto wa Mwalimu ,baba na mama ni kabila moja halafu bado watoto hawajui kuongea kiluga chao!.
P
Analihubili neno takatifu kwa Sasa wizi kaachaUnaifahamu hadithi ya wale vibaka wawili,Munishi na Malebo.
Walikuwa wanafanya shughuli zao stendi ya basi Arusha ( stendi ya Kilombero labda).
Yule Munishi alikuwa anamwambia mwenzake."Usiwe mshamba. Watu wakikutukana usitake kupigana. Wanakutukana kwa makusudi ili upigane wakuibie hela zako."
Halafu baadaye yule Munishi alienda Nairobi halafu sijui ilikuwaje baadaye.
Haya,mnaweka maneno ambayo mimi sitayafahamu.Hahahahaha ngosha ngw'angaloka namhala wane welaga shiza ukwenuko?
Siasa za kijamii kivipi mbona alikua anapenda sana kutembelea Marekani na Uingereza na mpaka akaenda Uingereza kutibiwa.Mwalimu hakua na foresight kwa hakika..yule mzee amelifelisha sanaa taifa kwa sera zake za ujamaa na siasa za kuogopa dola
Hiyo crystal ndo mnaweka kwenye yale mapete makubwa makubwa?Bibi Mgaya ndiye alikuwa mama yake Mwalimu Nyerere, na mara nyingi alikuwa anaongea naye.