Mwalimu Nyerere akifufuka leo atasemaje? Ahadi imetimia

Angeaza na Rais anayeuza sura nje,pia na watu wnaojidai great thinkers kumbe vilaza tu kama Tropical,Mwita25,Faizafoxy,Salmia wanaokubali kutumika bila kujijua.
Ila kweli mkuu angeanza na hawa vilaza halafu wanafuata tume ya uchaguzi NEC
 
Aanze yeye nkya manake hafanyi kazi za uzalishaji anaishi kwa longo longo na kuchochea wananchi na kuwapumbaza wasihoji ni kiasi cha fedha kinachopotelea kwa ngo's.
Pili atajichapa mwenyewe kwa kujijengea sifa mwenyewe na kusahau nchi na wananchi mpaka kusahau kujiendeleza wao binafsi na kung'ang'ania kuomboleza kila mwaka wakati msiba unamwisho.

Hufahamu nini maana ya mwanaharakati na majukumu ya mwanaharakati, mama nkya ni miongoni mwa wanawake wachache wenye ujasiri na uthubutu, misingi na miiko na maadili vilivyo asisiwa na mwl. Nyerere vikiheshimiwa umaskini bye..sijui kama una kumbuka maadui wakuu wa3 mwalimu aliwatangazia vita, ujinga, maradhi na umaskini. Nyerere z a hero and a true legend our country ever had.
 
jamani mimi naona huyu mzee tunamuonea sana tena sana kwani sasa hivi yeye hayupo katika uso wa dunia na wala hata ruditena duniani.hivyo basi suala la nani apigwe viboko au makonzi lipo mikokononi mwetu sisi watanzania tulio hai na tunaotaabika.kwani wakuwapiga hzo bakola si ni hawa magamba.jamani tujitambue hakuna haja yakutafuta mchawi wakati anajulíkana.
 
Hapana mkuu wangu haya ni makosa.. Nchi hii sii ya Nyerere wala hakuwa na mamlaka ya kuwaadhibu viongozi au watu wanaokosea..Hii ni akili ya kitumwa, tegemezi na kuonyesha ufinyu wa watu wengine wote ktk kufikia maamuzi isipokuwa marehemu.

Misemo hii ipo sana tu kama tuna watu wanaohusika direct na mtajwa ambaye ana nguvu za ajabu. Nyerere alishindwa kutuachia urithi wetu kwa watu wanaoaminika na alikuwepo wakati Azimio la Zanzibar likiundwa, alikuwepo wakati wa mageuzi ya kisiasa, kiuchumi na hata kupoteza dira ya Taifa, alikuwa hai bado na hakufanya lolote kwa sababu alikwisha jivua mamlaka ambayo leo mnataka kumpa mfu. Na tuheshimu maamuzi yake na kuyaenzi badala ya kuunda fikra za kisinema akiwa kaburini..
Mkuu nadhani umewahi ama kusikia familia fulani walikuwa wanaishi maisha bora lakini baada ya baba kufa hiyo familia akabaki hohehahe, si kwamba baba hakuona anayeweza kuiongoza ile familia la hasha, inawezekana alimuona lakini huwezi kumhuku mtu kwa uaminifu kwani anaweza kubadilika wakati wowote, kwa wazo lako we unaona nani alifaa au alisitahili kuachiwa mikoba na Nyerere wakati huo mpaka sasa, inawezekana ukamtaja mtu hapo lakini inawezekana unamuona mwema kumbe na yeye hajaipata hiyo nafasi labda na yeye angekuwa kama hawa tunaowalalamikia leo. Cha muhimu hapa ni kuwaambia hawa kuwa sasa basi, kumbuka kila mtu anafanya errors, lakini hawa wenzetu wanafanya mistake badala ya errors
 
Mwalimu was a TRUE nationalist. Aliipenda Tanzania na Alichukia UFISADI na Mafisadi. Wanaobeza hoja hii wanaonyesha jinsi wanavokumbatia UFISADI na Kivuli hata Jina La Mwalimu linawatisha!.... Hawataki kabisa kusikia habari zake. KWA TAARIFA YAO matendo yake yanaishi Milele kwa kuwa huwezi kufunika HAKI wala KWELI daima.
 
Nyerere aliwahi kusema akitokea mtu akakushaura ufanye jambo la kipumbavu, alafu na wewe ukijua kuwa ni jambo la kipumbavu na ukakubali, basi huyo mtu atakudharau sana, sasa kwa mantiki hiyo nadhani wapigakura ndio tunapaswa kucharazwa kwa kulifikisha taifa hapa kwa kuwaweka viongozi hawa wabovi na kukaa kimya tukiona nchi yetu inaharibika mbele ya macho yetu.
Salaam watanzania.
 
Mkuu nadhani umewahi ama kusikia familia fulani walikuwa wanaishi maisha bora lakini baada ya baba kufa hiyo familia akabaki hohehahe, si kwamba baba hakuona anayeweza kuiongoza ile familia la hasha, inawezekana alimuona lakini huwezi kumhuku mtu kwa uaminifu kwani anaweza kubadilika wakati wowote, kwa wazo lako we unaona nani alifaa au alisitahili kuachiwa mikoba na Nyerere wakati huo mpaka sasa, inawezekana ukamtaja mtu hapo lakini inawezekana unamuona mwema kumbe na yeye hajaipata hiyo nafasi labda na yeye angekuwa kama hawa tunaowalalamikia leo. Cha muhimu hapa ni kuwaambia hawa kuwa sasa basi, kumbuka kila mtu anafanya errors, lakini hawa wenzetu wanafanya mistake badala ya errors
Mkuu wangu nimeziona familia hizo sana tu, tena nyingi ni zile ambazo serikali ndio imewanyang'anya watoto wa marehemu urithi wa maisha bora baada ya kufa kwa baba yao. Viongozi wengi wakati wa Nyerere walikuwa na maisha mazuri lakini baada ya kufa hawa wazazi, watoto wameshindwa kuendeleza lolote kwa sababu hawakuachiwa urithi bali serikali ilikuwa na mamlaka juu yao kama mdhamana na ikawamwaga!.

Na ndivyo alivyofanya Nyerere ktk Uhuru na UTU wa Mtanzania kukabidhi uhuru wetu wahuni wahuni tu ambao walikuwa na tamaa ya utajiri.maandalizi yote ya kutufikisha hapa tulipo leo yaliofanyika akiwa hai, aliwaona kina Mwinyi na Mkapa walkituburuza ktk ujenzi wa Ubepari (Capitalism)n wakati nchi haina mtaji (capital) na mbio za watu kujitajirisha wao kuondokana na umaskini. Alikuwepo wakati Greenland bank wametuingiza mjini na Mwinyi kuuza viwanja vya mnazi mmoja na mbuga za wanyama - Alikuwepo!...Na yapo mengine mengi tu aliyaona yakifanyika akabakia kulia na pengine ndio sababu ziolizomwondoa duniani kwa uchungu wa kutokuwa na mamlaka ya kufanya maamuzi kama alivyokuwa zamani..Llakini nampa heshima kuibwa sana kwa sababu yeye alijitoa mapema na kuacha sisi wenyewe tujimalize kwa kuchagua Ubepari dhidi ya Ujamaa.

Na familia nyingine walifilisika nje ya hapo, walioshindwa ni kwa sababu hapakuwepo na misingi bora ya uendeshaji mali au biashara za mzee. Mara nyingi wazee waliendesha biashara zao bila kuwashirikisha watoto zao, hivyo alipofariki watoto walijikuta hawajui pa kuanzia. Lakini majority ya urithi wa Kiafrika ni kupewa wajomba, baba mdogo au mkubwa kushikilia mali za watoto ambao wao wenyewe hawakuzichuma hivyo hawana uchungu nazo..In all it's total ignorance, greed and selfishness ndio hutuponza..

Kama nitakubaliana na hoja ya mada hii basi nitasema kama Nyerere akifufuka leo na kukuta hali hii, Atafurahi sana, atacheka sana na kusema YAKOWAPI? Je sikuwambia kwamba UBEPARI sii mfumo wa maskini wasiokuwa na mtaji wala kinga?..
 
wa kwanza kuchapa ni watanzania wanaoshindwa kufikiri kwa makini wakati wa upigaji kura!. Pili wachapwe wale wote waoga (nadhani hapa watanzania wote watachapwa),. tatu wachapwe wanafiki wote. Nne wachapwe wabunge na mwisho kila mtu anayejua anaibiwa lakini anakenua meno bila kuchukua hatua
 
Ananilea anaamini katika kufufuka wafu? wachawi wengine bana!

Hafufuki kwahiyo hakuna issue hapo period..anaoza kwenye vumbi
Safi sana.
Lakini ukweli ni kwamba Wafu watafufuka, issue ni Kwamba watafufuka at the second coming
of Jesus Christ na issues zote zitakwenda according to his instructions, well, according to God's
Commandments.

wote hawa unaowasikia (Heads of states) including Nyerere and his fellow dead and buried
men and those who will be alive but dead and those alive but buried watakuwa submissive kwaye.

Na hili halina mambo ya kiimani wala nini. this is what is going to happen period.
 
Wadau hebu tujaribu kufikiri itakuaje kama mwalimu akifufuka hasa katika kukitazama chama chake na mwenendo wa taifa hili.Kwa mawazo yangu nahisi atakufa tena baada ya dakika mbili tu!
 
Hizi ni ndoto za alinacha ambazo hazitakiwi kujadiliwa na wasomi na watu makini hapa JF...Maana hatuwezi kujadili kitu ambacho hakiwezi tokea,tutakuwa tunajadili ujinga na kupoteza umeme,kujaza server,kuchosha kompyuta zetu.
 
Angeingia CHADEMA. Hata wakati wa uhai wake, akihutubia awnanchi Mbeya alitambua chama chetu kwamba kilikuwa na msimamo safi.
 
Angefufuka na kutuona angepata heart attack, na kufa hapo hapo!
 
Angepagawa mwenyewe kutukuta tuna kitu DSTV,mziki mkubwa, kitu vogie,tuna ng'ata bia kwa kwenda mbele kibabu kilituchelewesha kula bata sana,mi naamini kikifufuka wala bata tutakiua tena kituondolee kiwingu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom