Mwalimu Nyerere akifufuka leo atasemaje? Ahadi imetimia

Ndoto za Alinacha, ila sometimes sio mbaya kujifariji. But can't happen.
 
Nimekaa natafakari kuwa Tanzania yetu ya sasa..atatokea wapi kiongozi wa kukemea maovu na kuwa mfano wa Kuigwa?
Atatokea wapi kiongozi ambaye ataweza kukemea Rushwa na kuikataa Rushwa Kweli kweli?
Atatokea wapi kiongozi ambaye kwake ukabila na udini havina nafasi katika uongozi wake?
Jibu sipati na kwa Tanzania ya sasa hayupo..Natamani Hayati Baba wa Taifa angerudi na kuona yanayotokea ndani ya Nchi hii kwa sasa ,achilia mbali kwenye chama ambacho yeye mwenyewe alikiasisi.
Naamini angetupatia suluhisho.
Nashawishika kusema kuwa naona giza kubwa sana limetanda mbele yangu pindi napoitazama Tanzania ifikapo mwaka 2015.
Siasa za chuki,udini,ukabila zimechukua nafasi kubwa sana hapa Tanzania.Nashawishika Kusema kuwa hata hawa Viongozi wa Dini ambao tunawategemea kuwa wakombozi wetu kwenye kukemea chuki,udini,ukabila wameshaingia kwenye mtego na kuwa wadau wakubwa wa kushabikia masuala haya.
Inakuwa Vigumu sana kwa Tanzania hii ya sasa kutenganisha Dini na Siasa.Ukabila nao umeanza kutanda kwa kasi.
Sijaona mtu mwenye nia ya dhati kabisa anajitokeza na kuweka mkakati wa kumaliza masuala haya ambayo ni mwiba katika mshikamano na utaifa wa nchi hii .
Natamani sana Mzee Mwinyi angekuwa na uwezo wa kukemea kama aliokuwa nao Baba wa Taifa.Nashawishika kusema kuwa yeye kwa Sasa ndio kiongozi pekee wa ngazi ya juu aliye salia na pengize ana nafasi ya kukemea haya.Lakini kwa kipindi kirefu amekuwa kimya .
Sina Imani na viongozi wa Dini ambao kila kukicha wamekuwa wakitumia udhaifu au uwezo wa kifedha wa baadhi ya watu ,kwa kujinufaisha wao wenyewe kwa kigezo cha kukusanya michango kwa ajili ya kuendeleza dini zao
Sina Imani na Viongozi wa Dini wanaotoa kauli za kuwa baadhi ya watu ni Chaguo la Mungu katika Kuongoza nchi hii,.Haiwezekani kwa Mtu ambaye ni changuo la Mungu akafanya mambo yaliyo kinyume na Mungu,Viongozi hawa Dini wanataka wanadamu wasiamini kuwa Mungu yupo.
 
Nimekaa natafakari kuwa Tanzania yetu ya sasa..atatokea wapi kiongozi wa kukemea maovu na kuwa mfano wa Kuigwa?
Atatokea wapi kiongozi ambaye ataweza kukemea Rushwa na kuikataa Rushwa Kweli kweli?

Atatokea wapi kiongozi ambaye kwake ukabila na udini havina nafasi katika uongozi wake?

Jibu sipati na kwa Tanzania ya sasa hayupo..Natamani Hayati Baba wa Taifa angerudi na kuona yanayotokea ndani ya Nchi hii kwa sasa ,achilia mbali kwenye chama ambacho yeye mwenyewe alikiasisi.Naamini angetupatia suluhisho.

Nashawishika kusema kuwa naona giza kubwa sana limetanda mbele yangu pindi napoitazama Tanzania ifikapo mwaka 2015.

Siasa za chuki,udini,ukabila zimechukua nafasi kubwa sana hapa Tanzania.Nashawishika Kusema kuwa hata hawa Viongozi wa Dini ambao tunawategemea kuwa wakombozi wetu kwenye kukemea chuki,udini,ukabila wameshaingia kwenye mtego na kuwa wadau wakubwa wa kushabikia masuala haya.

Inakuwa Vigumu sana kwa Tanzania hii ya sasa kutenganisha Dini na Siasa.Ukabila nao umeanza kutanda kwa kasi.
Sijaona mtu mwenye nia ya dhati kabisa anajitokeza na kuweka mkakati wa kumaliza masuala haya ambayo ni mwiba katika mshikamano na utaifa wa chi hii .

Natamani sana Mzee Mwinyi angekuwa na uwezo wa kukemea kama aliokuwa nao Baba wa Taifa.Nashawishika kusema kuwa yeye kwa Sasa ndio kiongozi pekee wa ngazi ya juu aliye salia na pengize ana nafasi ya kukemea haya.Lakini kwa kipindi kirefu amekuwa kimya .

Sina Imani na viongozi wa Dini ambao kila kukicha wamekuwa wakitumia udhaifu au uwezo wa kifedha wa baadhi ya watu ,kwa kujinufaisha wao wenyewe kwa kigezo cha kukusanya michango ya kwa ajili ya kuendeleza dini zao.

Sina Imani na Viongozi wa Dini wanaotoa kauli za kuwa baadhi ya watu ni Chaguo la Mungu katika Kuongoza nchi hii,.Haiwezekani kwa Mtu ambaye ni changuo la Mungu akafanya mambo yaliyo kinyume na Mungu,Viongozi hawa wanataka wanadamu wasiamini kuwa Mungu yupo.
 
Yaani hujui kama yupo? Acha niukuambie tu.Ni Dokta Wilbroad Peter Slaa
 
Bahati mbaya Nyerere hatarudi! unashauri Watanzania wafanye nini sasa? Walie, waomboleze, wajikatie tamaa hivihivi au wafanyeje?
 
Mwalimu julias kambarage nyerere akifufuka leo hii lazima atukufa kwa ugojwa wa presha,atawauliza watanzania ni viwanda vingapi nilivyocha vinafanya kazi? Wananchi wata jibu akuna hata kimoja
Hii ni urodha ya winda mwalimu alivyoacha vinafanya kazi na kwa sasa vimekufa
Kili tex
Mwatex
Philips arusha
Genero tyre arusha
Nyumbu
Tanganyika pekas
na vingine nisaidieni nashindwa kuandika kutokana na machungu niliyo nayo
 
Yapo mengi kibao mabaya mabaya mabaya na ya kuchukiza mno, iko wapi tanzanite yetu kwishney almasi yetu je mwadui? Dhahabu yetu shinyanga? Mashirika ya uma yaliyokuwa yanafanya vizuri mno, mashamba yetu ya mkonge pamba karafuu tumbaku miwa nk nk nk? Iko iko wapi Tanganyika packers! Ubungo spinning je? National milling? Pita magodown ya nyerere rd kila kitu kimeuzwa bei chee kwa wageni iko wapi reli ya tazara! Mungu wangu ATC je? Bandari yetu hoi vyuo vyote vya kilimo na ufundi maaanina naweza mfuturu mtu ngoja niachie hapa hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom