tulikua tunatesana tu.
Nimeupenda huu mkokotoo
Upon very easy lakini Tu sijui kwanini walituzungusha sana
Ha ha ha! Ngoja nitamfundisha dogo hiyo trick.
Naamini hata wao walikuwa hawajui hii formu
Naamini hata wao walikuwa hawajui hii formu
Hahahaha sawa
Njia tamu sana hii!!
To be honest, somo la hesabu lilikuwa somo nisilolipenda kuliko yote. Yaani, kwa mfano nikiwa chekechea, nitapata 100% masomo yote lakini hesabu lazima nitakosa tu; utakuta nimepata mara 98%, au 95% na wazazi wangu walijua hilo.
Mtihani wa form four nilikomaa na Section "B" then section "A" nikaokoteleza, nikapata ka "B" kangu. Nimeenda A-level "PCB" nakutana na BAM tena, kuna mahesabu ya nyoka yale sikuyapenda kabisa. Dah! Hesabu inakatisha tamaa kusoma, bora kukariri biology.
Mbinu km hizi, zitamfanya mtoto aipende hesabu sio bakora tu.
HARUFU kuna watu wana mzio na hisabati kiasili sasa wakiona hii mada na hii post yako ndio kabisa wanapata homaNimeipenda sana hii ya kwako, ila ya kwangu mimi kwa kuzidisha na 9 ilikuwa unazidisha na 10 kwa kuwa 10 ni rahisi sana kwa kuzidisha.
Kwahiyo unafanya hivi:-
9*1 unafafanya 10*1 ambayo= 10 kisha unatoa 1 jibu 9 (10-1=9)
9*2 unafafanya 10*2 ambayo= 20 kisha unatoa 2 jibu 18 (20-2=18)
9*3 unafafanya 10*3 ambayo= 30 kisha unatoa 3 jibu 27 (30-3=27)
9*4 unafanya 10*4 ambayo= 40 kisha unatoa 4 jibu 36 (40-4=36)
9*5 unafanya 10*5 ambayo= 50 kisha unatoa 5 jibu 45 (50-5=45)
9*6 unafanya 10*6 ambayo= 60 kisha unatoa 6 jibu 54 (60-6=54)
9*7 unafafanya 10*7 ambayo= 70 kisha unatoa 7 jibu 63 (70-7=63)
9*8 unafanya 10*8 ambayo= 80 kisha unatoa 8 jibu 72 (80-8=72)
9*9 unafanya 10*9 ambayo= 90 kisha unatoa 9 jibu 81 (90-9=81)
9*10 unafanya 10*10 ambayo= 100 kisha unatoa 10 jibu 90 (100-10=90)
HARUFU kuna watu wana mzio na hisabati kiasili sasa wakiona hii mada na hii post yako ndio kabisa wanapata homa