Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,411
- 829,749
Kinachonifanya niipende hesabu ni kuhesabu hela.
Hahahaaaaa babacollins nimecheka mpaka nimepaliwa na wanzuki yangu
Last edited by a moderator:
Kinachonifanya niipende hesabu ni kuhesabu hela.
Kinachonifanya niipende hesabu ni kuhesabu hela.
To be honest, somo la hesabu lilikuwa somo nisilolipenda kuliko yote. Yaani, kwa mfano nikiwa chekechea, nitapata 100% masomo yote lakini hesabu lazima nitakosa tu; utakuta nimepata mara 98%, au 95% na wazazi wangu walijua hilo.
Mtihani wa form four nilikomaa na Section "B" then section "A" nikaokoteleza, nikapata ka "B" kangu. Nimeenda A-level "PCB" nakutana na BAM tena, kuna mahesabu ya nyoka yale sikuyapenda kabisa. Dah! Hesabu inakatisha tamaa kusoma, bora kukariri biology.
Mbinu km hizi, zitamfanya mtoto aipende hesabu sio bakora tu.
kwa ufaulu huo wewe hesabu ulikua unauwezo sana..sema ujeuri tuuh..
Kitu cha hesabu kilinipita kushoto,nilianza kulichukia hilo somo nikiwa darasa la tano.
Mwenzio Kiswahili walikua wananiacha sana somo gumu hili...
Table ya 11 nayo rahisi
mfano: 11 * 12 = 132
11 * 13 = 143
11 * 14 = 154
so chukua namba inayozidishwa(12) zen jumlisha tarakimu za namba hiyo( 1+2)..jibu unalolipata(3) liandike katikati ya namba hizo mbili(132)..na hilo ndo litakuwa jibu lako
Mdogo wangu kumbe ulikua husinzii darasani 😀😀😀
Primary nilipenda sana kiswahili,sikuona somo rahisi kama hilo. Ikifuatia na sayansi ya enzi hizo...walimu wa haya masomo wakichelewa darasan dk5 naenda kuwaita..tofauti na hesabu nilikua naomba mwl apate dhararu asiingie class
HARUFU kuna watu wana mzio na hisabati kiasili sasa wakiona hii mada na hii post yako ndio kabisa wanapata homa
mimi naongoza kwa mzio wa hesabu..nilipoiona post ya jamaa nikapatwa na usingizi
Primary nilipenda sana kiswahili,sikuona somo rahisi kama hilo. Ikifuatia na sayansi ya enzi hizo...walimu wa haya masomo wakichelewa darasan dk5 naenda kuwaita..tofauti na hesabu nilikua naomba mwl apate dhararu asiingie class
Hta ningefundishwa wakati huo nisingeelewa....was allergic to hesabu from long kitambo
Kuna haka kabinti kalikuwa kanaitwa Mkenaku Induhelech...tulizoea kukimbizana class kuwania kuwa top seed primary..basi kalikuwa kanapiga hesabu nisikazidi zaidi ya alama 25 over-all..maana kalikuwa sure kunipiga gap kwa matokeo ya hesabu..ingawa nami nilikuwa na uwanja wangu wa nyumbani kulipizia deficit