Hahahahhaah pole sana
nshapoa..at least ukubwani nilijua hesabu ya kutosha kunifanya "Zakayo"
Hahahahhaah pole sana
mimi naongoza kwa mzio wa hesabu..nilipoiona post ya jamaa nikapatwa na usingizi
farkhina mie nlifundishwa na mama hio method. Na mimi niliwahi kuitumia enzi hizo nilipokuwa mwalimu wa hisabati primary.
Shuleni nlikuwa napenda sana hesabu na physics, kwa kuwa physics nayo pia ilikuwa na hesabu. Lkn mambo ya kukariri maandishi siyawezi mwenzenu.
farkhina mie nlifundishwa na mama hio method. Na mimi niliwahi kuitumia enzi hizo nilipokuwa mwalimu wa hisabati primary.
Shuleni nlikuwa napenda sana hesabu na physics, kwa kuwa physics nayo pia ilikuwa na hesabu. Lkn mambo ya kukariri maandishi siyawezi mwenzenu.
mimi naongoza kwa mzio wa hesabu..nilipoiona post ya jamaa nikapatwa na usingizi
Mwalimu Rajab atakuwa ni mwalimu mzuri sana wa hisabati.Hii orodha ya tisa ni miongoni mwa orodha ngumu zana kukaririka sasa ilikuwa udogon tunatafta short cut.
unakariri 9, afu unaanza 1-9 afu sasa za kulia unaanza na sifuri chin kwennye tisa unarudi adi 9 tena juu.
kiurahisi tulikuwa tunafanya hivi namba za kushoto unaanza na 0-9 chini afu za kulia unazigeuza unaanza na 9-0 chini
mwl rajabu alipogundua hili alitufinya maskio acha kabisa manake alidai hatuelewi tunakariri tu
Mkuu ni ugonjwa huu!
O-level niliziogopa sana japo nahic Ulikuwa uvivu Sijui! Huwez amin Necta nilikopy maswal na kuhamishia kwenye booklet kama yalivo (nielewe kama yalivo )
sasa chuo nikataman BA kimbembe Math but no way out!
Amazing sijawai hata kupewa SUP
Sasa nawaza nilikuwa nashindwa nini wakat ni mtu yule yule? ?????
Mwalimu Rajab atakuwa ni mwalimu mzuri sana wa hisabati.
jaman yote tisa hesabu za logarithim na exponential yaani mpaka leo nasiadabia.........Mimi mwenyewe sijui hata nilichokiandika kwenye paper o-level ila niliramba mswaki wa maana...mswaki pekee katika matokeo yangu ya shule from kindergarten to chuo..kama wewe chuo si nikaitamani Bachelor of Science in Taxation? mzee akaniambia katika uamuzi wa kijinga uliowahi kufanya huu ni wa kwanza..nikamwambia itafahamika...amini nilimaliza ingawa first year ka-sup ka QM kalinihusu!!!!
jaman yote tisa hesabu za logarithim na exponential yaani mpaka leo nasiadabia.........
yaani sijui ni uchawi gani uleee
sasa jiulize maswal ya physics eti unapewa log table kusoma angles uwiii RIP mr Lyimo yaani unataman ata kuwa kindege utoke ndani ya chumba cha mtihan...............
ukweli shule imerahisishwa sana yaani watoto wa kileo hata log tables hawazijui kila kitu calculator inamaliza...............
cha ajabu kbs shuon nikasoma bioststistics lol!!!!!!...........equatin za log zipo exponent zipo basi shidaaaaaa,
nikasoma tena kozi ingine Microbiology haya mahesabu yapo eti colony counting mweehh.......nikasoma ingine kuhusu waste water treatment mweeehhh nikazikuta ngoma zimebamba vilevile ndipo nikaconclude hesabu is inevitable aiseee
niliwah kutaman nirudi sekondari ningesoma ehsab kwa umakin zaid kuliko nilivyofanya zaman
Upon very easy lakini Tu sijui kwanini walituzungusha sana
spot on! mi mwenyewe ningerudi secondary ignekuwa kitabu cha hesabu nakiwekea cover la plastic ili niende nacho mpaka bafuni