Mkuuuu kwanini wasikopeeeMambo muhimu yatakayokufanya udumu kwenye ajira
1. Kamwe usile miwa ya shule (usitembee na wanafunzi). Miwa ya shule ni mitamu ila nakuasa usijaribu kwa usalama wako.
2. Usihoji kila kitu kwa mkuu wa shule hasa MAPATO na MATUMIZI. Wakuu hawapendi watu wanaohoji.
3. Kopa kwa kiasi. Baada ya mwaka kuanza kazi mtaruhusiwa kukopa benki. Kopa benki epuka taasisi kama FAIDIKA, FANIKIWA,RICHMOND,ATLASMARA na nyinginezo.
4. Kazi ya ualimu haina posho yeyote wala over time hata ukeshe hadi SAA nane usiku unafundisha. Posho pekee anayopata mwalimu ni usimamizi wa mitihani ya NECTA kwa mwaka mara moja.Hivyo tafuta kipato nje ya ajira.
5. Fundisha kwa kiasi usijitese sana maana ukifaulisha sifa ni za mkuu wa shule na sio za kwako ila ukifelisha lawama ni za kwako.
6. Usiingie kwenye makundi ofisini wala usipeleke umbea kwa mkuu wako epuka kutumika
7. Kumbuka kujiendeleza elimu haina mwisho.
8.Mwisho lakini sio kwa umuhimu acha siasa ofisini hasa kama wewe ni mpinzani. Tunasema hakuna ubaguzi kwa nje ila kwa ndani fursa nyingi zitakupita kuna ubaguzi mkubwa sana.
KAZI NJEMA
Kuwa kibaraka ni mbaya sana6. Usiingie kwenye makundi ofisini wala usipeleke umbea kwa mkuu wako epuka kutumika
Hoja yenye mashiko kwenu walimu wapya.
Mkuuuu kwanini wasikopeee
Si mishahara Yaoo
Waache Wakopee bwanaa aseee
FAIDIKA ,Fanikiwa na Wengine wale wapi wao
Mkuuu tunategemeana mkuuuu.
UNATAKA NMB na CRDB WALE WENYEWE HAPANA MKUU TUTAKULA WOTEE WALLAH
Vipi walimu wa chuo, nao hawaruhusiwi kula miwa.
Hahaha! Unakutana na mkongwe ana miaka 15 kituoni halafu wewe unafika leo unajifanya mjuajiUsiingie na magia makubwa kwamba wewe ni mtaalamu sana kuliko wakongwe uliowakuta.
ONYO ;- ukikuta kuna vitu (tena vingi) wanafanya fyongo usiwakosoe ila tiririka nao hivyo-hivyo.
Nakukumbusha tu ---wengi wao (hasa wakongwe) wamejizindika kwa ndumba na wanafanya kazi kwa upole na taratibu hawahitaji changamoto-mavi za masela V/s masista-duu !
Usiingie na magia makubwa kwamba wewe ni mtaalamu sana kuliko wakongwe uliowakuta.
ONYO ;- ukikuta kuna vitu (tena vingi) wanafanya fyongo usiwakosoe ila tiririka nao hivyo-hivyo.
Nakukumbusha tu ---wengi wao (hasa wakongwe) wamejizindika kwa ndumba na wanafanya kazi kwa upole na taratibu hawahitaji changamoto-mavi za masela V/s masista-duu !
Uwalimu ni wito ingekuwa ni kazi ingekuwa na haki zote kama,. Overtime,posho, nk nkPia kumbukeni ualimu sio wito bali ni kazi kama ilivyo kazi nyingine
Uwalimu ni wito ingekuwa ni kazi ingekuwa na haki zote kama,. Overtime,posho, nk nk
Aisee nawaonea huruma hawa viumbe yaan wanaishi kwa gharama isiyo zidi million 6 mwaka mzmaNeno wito linatumika ili wakunyonye vizuri