Halisi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2007
- 2,802
- 617
- Thread starter
- #61
Wakati tukijadili Dowans inabidi pia tuitupie macho AGGREKO kampuni ya Kiingereza (Scotland) inayotengeneza mitambo ya kufulia umeme. Ni kitu gani kilituzuia tusiwasiliane moja kwa moja nao - instead tukawapa tenda wakala wao UAE. Kuna nini Dubai ?
Dar - Dubai connection is getting thicker and thicker !! Kwa nini option ya kununua huwa haipo kwenye hizi tenda instead tunakodisha na baadaye kulazimika kununua ?
Hayawi, hayawi, soon yatakuwa. Kwa kweli, hii nchi inatia kichefu chefu..... sijui kama tutafika kweli