mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
yaani hapo ndio pazuri yeye alisema lowassa fisadi na yeye je?Ngoja nikae hapa nisikilize uozo wa mwakyembe
yaani hapo ndio pazuri yeye alisema lowassa fisadi na yeye je?Ngoja nikae hapa nisikilize uozo wa mwakyembe
Mkuu Unakwepa hoja na ndiyo tatizo la nchi yetu na wananchi wake sijui mnadhani mnawakomoa wakosoaji ?
Kweli mkuu tatizo la wabongo ni kuchanganya siasa na maslahi ya nchi fisadi yeyote ni hatari usishabikie ufisadi ueendelee kisa Fulani kaachwa kwa kukosekana ushahidi lete ushahidiMimi ni chadema kama kuna uhusika wa Lowasa bila chenga kwenye Richmond naanyongwe tu lakini hiyo haimfanyi Mwakyembe asiguswe hii thread inahusu ufisadi wa Mwakyembe juu ya mabehewa fake...
Napendekeza Mwakyembe achomwe moto ili owe fundisho kwa hawa majambazi ccm...
Mwakyembe alikuwa Waziri na alitamba sana kwenye vyombo vya habari kuhusu hayo mabehewa. Sasa iweje asiwajibike kwa kasoro za wizara aliyoisimamia na kuitambia mabehewa au majipu yanayotumbuliwa yana chapa tofauti?Majipu ya TRL yalishatumbuliwa sana tu.Mwakyembe hakuwemo kwenye TendER board,Wala Hafanyi kazi kitengo cha procurement cha TRL,Wala si mjumbe wa BOARD YA TRL iliyointhiinisha hayo manunuzi.Wala hakuwa sehemu ya management.Wahusika direct walishatumbuliwa tena sana tu.
Watu wakiongelea Mwakyembe utafikiri yeye ndiye alienda sokoni india kununua hayo mabehewa.Lakini tunajua ni wale TEAM LOWASA baada ya kumkosa kumtoa ubunge Kyela AMBAKO Lowasa mwenyewe alienda kutaka kumtoa Mwakyembe aliyesoma ile Ripoti ya Richmond Bungeni ambayo ilkimtoa Lowasa mkuku kutoka uwaziri mkuu hadi kuchunga ng`ombe monduli.
Hawa wanaomwandama Mwakyembe ni ni Team LOWASA
Naona lowasa na genge lake linapamabana na mwaykembe
Viwavi @ workGroup luwasa vs mwakyembe
Mafisadi group lowsa
Wanyonge group mwakyembe
Ndicho kinachowasumbua
Mkuu unawaona ukoo wa panya...
Mdau hebu tuwe siriaz,je opereshen tokomez iliyosababisha watu wang'oke nayo mawaziri walienda poriniWaziri siyo Accounting Officer ndugu yangu yeye anahusika na utungaji na usimamizi wa Sera tu! Ndio Maana Muhongo karudishwa kwenye Baraza la mawaziri. Hana Signature kwenye Malipo yoyote ya Wizara.
Gangongine amenshangaza sanaIla waziri Mkuu anasignature? Mbona una leta majibu mepesi kwenye mambo ya msingi? unawezaje kumtoa waziri kwenye uchafu wa wizara yake?
Mkuu ni kweli kabisa na ukizingatia full mkoko ya wana ukawa bungeni safari mwakyembe inabidi arudi india wamuongezee dawa ya kutuliza ubongomwakyembe akisikia neno 'mabehewa feki' anatamani ardhi ipasuke.
Swali zuri sana kwa hao wazee wa viwaviMdau hebu tuwe siriaz,je opereshen tokomez iliyosababisha watu wang'oke nayo mawaziri walienda porini
Mleta mada anaomba ripoti ziletwe bunge (kwa wananchi) tuone usafi wa Mwakyembe! Wewe unatumia mdomo wako eti Mwakyembe msafi, tena msafi sanaa!! Attach basi huu mdomo wako hapo labda unaweza kuleta uzito maana maneno sana sana hayana maana na hayaendani na alichoomba mleta mada.Ila kwa swala la UFISADI Mwakyembe ni ni mtu safi sana sana na asie penda mambo ya rushwa au ufisadi kabisa, ILA naona hapa anatetea serikali yake kwani hana jinsi!
Ha ha ha du hayaViwavi @ work
Ni kuongeza elimu ya uraia kwa wananchi waweze kujua na kuzitambua haki zao,ili unapofanyika uchaguzi wasidanganywe kwa kupewa khanga,tshirts,na kofia bali wawachague wabunge watakao kuwa tayari kutetea maslahi ya wao na taifa kwa ujumlaHuu ni zaidi ya ukoo wa PANYA sijui dawa gani itumike kuwamaliza panya hawa
Mkuu hao ndio dawa yao na sasa wameanza kukimbia kivuli chaoKama Lowasa hakuwajibu shutuma na matusi yote mliyomtukana wakati wa kampeni, hata sasa sidhani kama atawajibu kitu. Ila tu muangalie maana naona karibu mtawehuka, kila kivuli mnachokiona mnakiita Lowasa, tehe