Mwakyembe na ufisadi mabehewa feki

Mwakyembe na ufisadi mabehewa feki

Madudu yanapo fanyika wizara unayo ongoza you have to take leadership responsibility .
Kuanzia waziri, karibu mkuu, tender board, na procument officers wote wajipime kama vipi wawajibike.
 
Hoja ya mabehewa fake Mwakyembe ameitolea ufafanuzi jana bungeni.
sio hoja...Kama wizi umefanyika chini ya wizara yako na chini ya macho yako....bila wewe kufanya kitu..wewe ni Mwizi au mzembe na ueitia serikali hasara
 
Mkuu stick 2 the point, kama alihusika na kashfa yoyote mbona hawakumfukuza kazi, unafikiri JK alikuwa anamuogopa Mwakyembe?

Je, JPJM ambaye aliwahi kufanya kazi Wizara moja na Dk.Mwakyembe unafikiri Magufuli alibahatisha kumtehua kuwa Waziri wa Sheria na katiba?

Tunacho sahau ni kwamba Serikali ina vyombo lukuki vya kuchunguza maadili ya Viongozi kabla hawachapewa wadhifa wowote, hawawezi kuendekeza majungu ya watu wa mitaani wenye bifu binafsi na wenzao, linapokuja suala la majungu,roho za kutu na kwa nini - katika vices tajwa hapo juu Watanzania hatujambo SANA, sijui tutabadirika lini?
Tutabadilika siku familia zenu zikiacha kuifisadi hii nchi
 
Sasa angewapa uwaziri akina nani maana CCM wote majambazi yamezidiana tu...
Eti vyombo lukuki mbona wanyama Hai walisafirishwa na hawakujua...mpaka twiga au kipindi hicho hivyo vyombo havikuwepo?
Achana na kunguru wa zanzibar anatetea kunguru wenzie
 
Mwakyembe alikuwa Waziri na alitamba sana kwenye vyombo vya habari kuhusu hayo mabehewa. Sasa iweje asiwajibike kwa kasoro za wizara aliyoisimamia na kuitambia mabehewa au majipu yanayotumbuliwa yana chapa tofauti?
Swali zuri kabisa mkuu,na rejea kilichompata kagasheki huyu jamaa aliwajibishwa tu kwa kuwa alikuwa ni waziri wa mali asili na utalii,lkn waliofanya unyama walikuwa watu wengine huko site tu
 
Mambo ambayo yatasumbua this year
1.Mabehewa ya Mwakyembe
2.Kivuko cha Magufuli
3.Fedha za Eskro
4.UDA ya Kisena
5.UDART PROJECT
6.Suala la Kusafirishwa kwa wanyama hai la 2011
7.Makampun ya simu na wizi kwa wananchi
 
Madudu yanapo fanyika wizara unayo ongoza you have to take leadership responsibility .
Kuanzia waziri, karibu mkuu, tender board, na procument officers wote wajipime kama vipi wawajibike.
Kweli kabisa...
 
Watz,wanasiasa,wakuu wa kaya wanaongea mno bila kutekeleza wanayoyaongea!ccm haina jipya.
 
Inataka moyo Sana kua mshabiki wa ccm, yani unakaa unawaza kumsafisha mwakyembe kwenye ishu ya mabehewa!!? Mtu kama the big show kichwani hamna kitu.
 
Niwakati wa kuwawajibisha wote
Bila kujali kigogo wala nani
 
Ila kwa swala la UFISADI Mwakyembe ni ni mtu safi sana sana na asie penda mambo ya rushwa au ufisadi kabisa, ILA naona hapa anatetea serikali yake kwani hana jinsi!
Ndugu jitahidi kutumia akili hivi mtu unaweza kutetea kitu kisichokuhusu? Kama ulimsikia Jana alimuuliza Mdee je kati ya Yale mabehewa kuna ambalo halifanyi kazi baada ya hapo akasema ni kweli baadhi ya mabehewa yalikuja yakiwa mabovu lakini kampuni iliyoingia mkataba na serikali tuliwaita wakaja kuyafanyia matengenezo, ebu niambie kwa maelezo hayo Mwakyembe anaepuka vipi kashfa hii?
 
Ndugu jitahidi kutumia akili hivi mtu unaweza kutetea kitu kisichokuhusu? Kama ulimsikia Jana alimuuliza Mdee je kati ya Yale mabehewa kuna ambalo halifanyi kazi baada ya hapo akasema ni kweli baadhi ya mabehewa yalikuja yakiwa mabovu lakini kampuni iliyoingia mkataba na serikali tuliwaita wakaja kuyafanyia matengenezo, ebu niambie kwa maelezo hayo Mwakyembe anaepuka vipi kashfa hii?
Hivi walikubaliana kununua mitumba? sheria inaruhusu hiyo kitu...
 
Majipu ya TRL yalishatumbuliwa sana tu.Mwakyembe hakuwemo kwenye TendER board,Wala Hafanyi kazi kitengo cha procurement cha TRL,Wala si mjumbe wa BOARD YA TRL iliyointhiinisha hayo manunuzi.Wala hakuwa sehemu ya management.Wahusika direct walishatumbuliwa tena sana tu.

Watu wakiongelea Mwakyembe utafikiri yeye ndiye alienda sokoni india kununua hayo mabehewa.Lakini tunajua ni wale TEAM LOWASA baada ya kumkosa kumtoa ubunge Kyela AMBAKO Lowasa mwenyewe alienda kutaka kumtoa Mwakyembe aliyesoma ile Ripoti ya Richmond Bungeni ambayo ilkimtoa Lowasa mkuku kutoka uwaziri mkuu hadi kuchunga ng`ombe monduli.

Hawa wanaomwandama Mwakyembe ni ni Team LOWASA
Utetezi wako una matundu! Usisahau kwamba kiongozi mkuu naye hupaswa kuwajibika endapo wa chini yake wameboronga yeye akiwepo.
 
Back
Top Bottom