Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Upo sahii kabisa mkuuccm ni ile ile na wateuliwa wao ni wale wale huenda hili likafunikwa kijanja na kuishia kuwakandamiza wale wa chini ambao hawakufaidi chochote.
Upo sahii kabisa mkuuccm ni ile ile na wateuliwa wao ni wale wale huenda hili likafunikwa kijanja na kuishia kuwakandamiza wale wa chini ambao hawakufaidi chochote.
Hivi Nchimbi,Mathayo,Kagasheki katika operesheni tokomeza walishiriki moja kwa moja kuwapa mkong'oto raia?Majipu ya TRL yalishatumbuliwa sana tu.Mwakyembe hakuwemo kwenye TendER board,Wala Hafanyi kazi kitengo cha procurement cha TRL,Wala si mjumbe wa BOARD YA TRL iliyointhiinisha hayo manunuzi.Wala hakuwa sehemu ya management.Wahusika direct walishatumbuliwa tena sana tu.
Watu wakiongelea Mwakyembe utafikiri yeye ndiye alienda sokoni india kununua hayo mabehewa.Lakini tunajua ni wale TEAM LOWASA baada ya kumkosa kumtoa ubunge Kyela AMBAKO Lowasa mwenyewe alienda kutaka kumtoa Mwakyembe aliyesoma ile Ripoti ya Richmond Bungeni ambayo ilkimtoa Lowasa mkuku kutoka uwaziri mkuu hadi kuchunga ng`ombe monduli.
Hawa wanaomwandama Mwakyembe ni ni Team LOWASA
Ila waziri Mkuu anasignature? Mbona una leta majibu mepesi kwenye mambo ya msingi? unawezaje kumtoa waziri kwenye uchafu wa wizara yake?
Fisadi kwa lipi? Richmond ni ya Kikwete kwani pesa yako ya Escrow ulimgawia Lowasa? Zile billion zilizopotea kula wizara ya Ujenzi walichukua akina lowasa? Kivuko feki na mabehewa ni michakato ya mawaziri hizo mbinu zao za kujaribu kuwabebesha zigo watu wa chini kila mmoja sasa amejua, Safari hii Mwakyembe lazima apete tezi dume kwa kuwatesa watumishi wengine ambao kawabambikia kesi kukwepa JIPU lake.Lowassa alisimamia mchakato wote wa richmond documents zote zinaonyesha Waziri mkuu yeye lowassa ndio alikuwa anafanya maamuzi. Mwakyembe hayupo kwenye document yoyote wala uamuzi wowote wa ununuzi mabehewa.
Kama chadema hampendi ufisadi msingempa chama fisadi lowassa na wenzie kina sumaye wanafki wakubwa nyie. Nyumbu!
bora hao hawakushiriki lakini waling'oka, Mwakyembe yeye kashiriki live kala pesa pia Bandarini aliweka ukabila akapiga dili nyingi sana cha ajabu kaamua kufanya Dhambi kuwabambikia wengine kesi yake wengine wa chini na ccm wapo wanashabikia bila Aibu.Hivi Nchimbi,Mathayo,Kagasheki katika operesheni tokomeza walishiriki moja kwa moja kuwapa mkong'oto raia?
Kwa hiyo haumpendi na mumeo kwa kuwa tu yupo UKAWA?siwapendi ukawa hata ukinishawishi
Document ipi ilimtaja lowasa ?? Kuhusu mabehewa mwakyembe ni mhusika wizara yake ilihusika mojakwa moja,,kama hakuhudika kufanya maamuzi bas ,hakuwa waziriLowassa alisimamia mchakato wote wa richmond documents zote zinaonyesha Waziri mkuu yeye lowassa ndio alikuwa anafanya maamuzi. Mwakyembe hayupo kwenye document yoyote wala uamuzi wowote wa ununuzi mabehewa.
Kama chadema hampendi ufisadi msingempa chama fisadi lowassa na wenzie kina sumaye wanafki wakubwa nyie. Nyumbu!
Kulipa makandarasi hewa he?Hasa lile jipu kubwa la mv dsm
Wewe unatetea mijiziKama mtu anaweza kukinunua chama, akawafanya watu wasahau magwanda yao. Akawafanya wale wanasiasa makasuku waliomuita mwizi, wawe wanampelekea ripoti ofisini kwake badala ya yeye kwenda ufipa, atashindwaje kujenga mkakati wa kumchafua waziri mmoja tu?. Kuna watu wanaambiwa kuwa wanapewa buku saba za Lumumba. Vipi kuhusiana na hawa wanaotumiwa na yule mnunuzi wa chama cha siasa, hawa wanaitwaje?. Maana dhambi ya mtu kununuliwa ni ile ile.
Mijizi ipo pande zote, rushwa na ufisadi sio kama noti ya shilingi 10,000, ni hulka ya mtu, huwezi kuiona kwa kumtazama machoni.Wewe unatetea mijizi
Kale sumusiwapendi ukawa hata ukinishawishi
Ndio maana siku hizi hapa jf wameongezeka vishoka wa kuwatetea hao mafisadi na kuwaponda wanaopinga ufisadiJesca David kishoa ni kivuli cha kafulila, hivyo mafisadi wa jipange bungeni
3 problems I have noticed about Tz politics, 1.talking 2.talking 3.talking and then nothing happens, aliyeshiba ataendelea kushiba na mwenye njaa atabaki na njaa yake