Hakuna msafi ndani ya ccm!! Mwakyembe ni mnafiki na mwizi kama wezi wengine tu
Ila waziri Mkuu anasignature? Mbona una leta majibu mepesi kwenye mambo ya msingi? unawezaje kumtoa waziri kwenye uchafu wa wizara yake?Waziri siyo Accounting Officer ndugu yangu yeye anahusika na utungaji na usimamizi wa Sera tu! Ndio Maana Muhongo karudishwa kwenye Baraza la mawaziri. Hana Signature kwenye Malipo yoyote ya Wizara.
Uliuelewa ule ufafanuzi wake!?Hoja ya mabehewa fake Mwakyembe ameitolea ufafanuzi jana bungeni.
hizi story zako ni zilezile za nani katangulia kati ya kuku au yai.Ila kwa swala la UFISADI Mwakyembe ni ni mtu safi sana sana na asie penda mambo ya rushwa au ufisadi kabisa, ILA naona hapa anatetea serikali yake kwani hana jinsi!
Na kile kiwanja cha Bahati beach alichonunua kwa bilioni moja kutoka kwa mzungu pesa kaitoa wapi?Ila kwa swala la UFISADI Mwakyembe ni ni mtu safi sana sana na asie penda mambo ya rushwa au ufisadi kabisa, ILA naona hapa anatetea serikali yake kwani hana jinsi!
Yaani hii CCM ya.eoza yananuka...Na kile kiwanja cha Bahati beach alichonunua kwa bilioni moja kutoka kwa mzungu pesa kaitoa wapi?
Mwakyembe ni fisadi. Kwenye bandari za nchi kavu alikuwa anaomba rushwa bila aibu. Anawaambia wawekezaji si mnajua kuna uchaguzi mwaka huu.
Serikali ya Kikwete ilijua madudu ya Mwakyembe ndio maana walitoa wizara ya uchunguzi.
Mkuu Yehodaya, unafikiri kwa wale waliopania kumpakazia Dk.Mwakyembe watakuelewa? Baadhi ya sisi Watanzania tuna roho za ajabu sana - wanasema lolote kujaribu kumu-demonise Mwakyembe - chuki binafsi ndio zinawasumbua!!!Majipu ya TRL yalishatumbuliwa sana tu.Mwakyembe hakuwemo kwenye TendER board,Wala Hafanyi kazi kitengo cha procurement cha TRL,Wala si mjumbe wa BOARD YA TRL iliyointhiinisha hayo manunuzi.Wala hakuwa sehemu ya management.Wahusika direct walishatumbuliwa tena sana tu.
Watu wakiongelea Mwakyembe utafikiri yeye ndiye alienda sokoni india kununua hayo mabehewa.Lakini tunajua ni wale TEAM LOWASA baada ya kumkosa kumtoa ubunge Kyela AMBAKO Lowasa mwenyewe alienda kutaka kumtoa Mwakyembe aliyesoma ile Ripoti ya Richmond Bungeni ambayo ilkimtoa Lowasa mkuku kutoka uwaziri mkuu hadi kuchunga ng`ombe monduli.
Hawa wanaomwandama Mwakyembe ni ni Team LOWASA
Na kile kiwanja cha Bahati beach alichonunua kwa bilioni moja kutoka kwa mzungu pesa kaitoa wapi?
Mwakyembe ni fisadi. Kwenye bandari za nchi kavu alikuwa anaomba rushwa bila aibu. Anawaambia wawekezaji si mnajua kuna uchaguzi mwaka huu.
Serikali ya Kikwete ilijua madudu ya Mwakyembe ndio maana walitoa wizara ya uchunguzi.
Sasa angewapa uwaziri akina nani maana CCM wote majambazi yamezidiana tu...Mkuu stick 2 the point, kama alihusika na kashfa yoyote mbona hawakumfukuza kazi, unafikiri JK alikuwa anamuogopa Mwakyembe?
Je, JPJM ambaye aliwahi kufanya kazi Wizara moja na Dk.Mwakyembe unafikiri Magufuli alibahatisha kumtehua kuwa Waziri wa Sheria na katiba?
Tunacho sahau ni kwamba Serikali ina vyombo lukuki vya kuchunguza maadili ya Viongozi kabla hawachapewa wadhifa wowote, hawawezi kuendekeza majungu ya watu wa mitaani wenye bifu binafsi na wenzao, linapokuja suala la majungu,roho za kutu na kwa nini - katika vices tajwa hapo juu Watanzania hatujambo SANA, sijui tutabadirika lini?
Mkuu mbona wapo wengi tu wenye maadili mema - repeating usemi Mzalendo Kambarage " Wapo,wapo tele" bahati mbaya wengine hawavumi lakini wapo/wamo. Hizi adithi zenu za uzao wa PANYA hazina ukweli wowote.Sasa angewapa uwaziri akina nani maana CCM wote majambazi yamezidiana tu...
Eti vyombo lukuki mbona wanyama Hai walisafirishwa na hawakujua...mpaka twiga au kipindi hicho hivyo vyombo havikuwepo?
CCM ni waizi mpaka mabalozi wa Nyumba kumi kumi hao unaosema ni waadirifu no kwasababu hawajulikani ndiyo maana watu hawawasemi...Mkuu mbona wapo wengi tu wenye maadili mema - repeating usemi Mzalendo Kambarage " Wapo,wapo tele" bahati mbaya wengine hawavumi lakini wapo. Hizi adithi zenu za uzao wa PANYA hazina ukweli wowote.
Simoooooooooooooooooooooooo, mzee mimi wala sijasema.Hasa lile jipu kubwa la mv dsm
Mkuu sikatai kwamba kwenye msafara wa mamba na kenge wamo lakini ni wachache, mkuu -Dk.Magufuli amekwisha wapa rungu wananchi kila mfanyakazi anapaswa kuweka jina lake kifuani ili hiwe rahisi kuchukuliwa hatua kali akirupotiwa kufanya nambo ya ndio sivyo sasa mpira unekwisha rushwa uwanjani kwenu kazi kwenu - au mnataka Mungu atupe nini kama siyo Magufuli, mpeni ushirikiano muone atakavyo badirisha Taifa letu kimaendeleo na kikubwa zaidi kimaadili.CCM ni waizi mpaka mabalozi wa Nyumba kumi kumi hao unaosema ni waadirifu no kwasababu hawajulikani ndiyo maana watu hawawasemi...