Mwakyembe augua ghafla Bungeni

Anagalieni,Nahisi kuna Nguvu flani za Giza....Hii ni bajeti na kuna kikao cha CCM karibuni

hawako tayari kuaibishwa?
 
Nimeona BREAKING NEWS alafu Mwakyembe nikashtuka sana.Pona Mwakyembe.
 
kama zitto hayuko dodoma wakati wa bajeti je anataka isemwe nini kuhusu prioties zake?

Kuwa priorities zake siyo kuwa 'rubber stamp' wa budget hafifu inayosokomezwa kwa wabunge na wananchi.

I don't see any problem with that.

Siyo wabunge wote waliopo Dom hivi sasa. Kuna wabunge zaidi ya 25, wa CCM wakiwepo, ambao hawajaonekana Dom katika siku mbili hizi.
 
Kwa ufupi JF ni kiboko

Naimaomari
Bomu hilo ... lapili hanyanyuki .... akatambike kweli kweli

Naimaomari inaelekea unajua jambo.


 
Hmmm hii kali!! mtu asiugue kidogo tayari wameshamtenda...Alafu huyo anayesema kuwa kuna mtu alionekana kwenye security camera za bunge, ina maana hakuchukuliwa hatua, sheria za trespassing zinasemaje kwenye majengo ya jamhuri ya muungano?
 
Siamini kama vijisent anaweza kufanya kitu kama hicho. Na huyo zitto yupo kijijini kwao, hata bajeti kaisikiliza kwenye radio
 
Siamini kama vijisent anaweza kufanya kitu kama hicho. Na huyo zitto yupo kijijini kwao, hata bajeti kaisikiliza kwenye radio
Mpita Njia,'
Amini, walahi amini! Anaweza kabisa. Lakini usiniulize zaidi.
 
kaanzi kalikokuwa kanarukaruka ndani ya ukumbi wa Bunge mida hiyo kameweza kuthibitisha pasipo shaka...
 
Ametutoka au hatunae wanaficha ,ila naona tumerudi paleplae kwenye mada niliyoianzisha kuwa kiongozi wa Serikali hasa wa ngazi za Uwaziri wao hawaumwi wala hawatakiwi kufa wakiwepo kwenye madaraka ila watazuka watu waseme jamaa tayari wameshugulikia,hivi tarehe za kufa kwa viongozi huwaga mpaka wamalize na kuondoka kwenye uongozi ndio waumwe ,maana walala hoi wengine huanguka tu pu na kukata roho ,sasa hawa angalau wanapata vijihoma homa na kwa vile wamekalia hazina ya Taifa hili la tanzania mara wanapokonyoka kwa hofu ya kukosa kuitumia wakiona maradhi yaliyowapata wanaweza kufa na hapo huanza kupata shinikizo la damu.
Bora makao makuu ya Nchi yahamishiwe Pemba kwani huko ndiko kwenye itikadi Wapemba hawafi ila wanaporogwa..wacheni uzushi watu wanakufa kila siku na haijulikani nani atafuatilia ,anyone can be selected to die anytime anywhere without any reason ,sasa mnataka kutwambia kama huyo jamaa hakuja juu mtambandika mtu aliehusika japo hajahusika ,tena mnavyofanya hatari mnasubutu hata kutoa ushahidi.
 
Pole mpiganaji! Sisi wengine tunaamini kuwa ni homa ya kawaida tu kama walivyosema wataalamu. Usihofu tunawaombea kheri wote mnaojitoa kwa dhati ajili ya ujenzi wa taifa letu. Safari inaendelea. Wote tutapita Taifa litabaki pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…