nyasaland
Member
- Jul 3, 2009
- 46
- 16
Inasikitisha sana kuona wasomi kama hawa wanaamua kuchagua kifo chao wenyewe kuliko cha chama chao, Aliombwa sana ahame akasema yuko tayari kufa akisema ukweli sasa kweli inakuwa. CCM siyo mama yao Mwalimu mwenye kadi namba moja alinena wao wanang'ang'ana tu! Si vizuri kuwacheka lakini ni wasomi wanajua CCM walivyo wauaji hebu ikumbukeni orodha hii na mazingira ya vifo vyao:
HORACE KOLIMBA
IMRAN KOMBE
GIBONCE MWAIKAMBO
NZUGILE JIDULAMABAMBASI
SAMSON KIPEPE
OMARY MBANO
PAULIN MPUYA
SALOME MBATIA N.K
Nashukuru mungu hata rafiki yangu Dr Masumbuko Lamwai alibadili tabia yake ya kuusema ukweli kama ulivyo baada ya kuhamia CCM naye angekuwa marehemu kweli ingawa sasa hivi ni marehemu kisiasa lakini kimwili tunaye, kama hamwajui ni WABAYA HASWA
N
hivi samson kipepe ilikuwaje members?nakumbuka alikuwa naibu katibu mkuu uvccm na mkuu wa utawala na fedha