apolycaripto
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 644
- 225
Teeeeh....teeeeh...ugonjwa wa mtu ni siri kati yake na daktari (Mwandosya).Serikali iseme nini juu ya Mwakyembe?
imeniuma kuona sura yake imekuwa yakizee mpaka nashindwa hata kuitazama raia wabaya sana. Nitarudi baadae kidogo
Hiyo picha ni Mwakyembe tunayemjua ama ni kaka yake?
Hiyo picha ni Mwakyembe tunayemjua ama ni kaka yake?
Ni ya kwake nimeiona leo kwenye gazeti la nipashe alipokuwa anaongea na waandishi wa habari
Itakuwa picha Joseph Mungai hii...
ha ha ha tusker baridiii unamajibu mazuriiiii af sijakuona siku mbili tatu..mi nimelamba ban hii account yangu fake aixee
Teeeeh....teeeeh...ugonjwa wa mtu ni siri kati yake na daktari (Mwandosya).Serikali iseme nini juu ya Mwakyembe?
duuh hiyo sura kama babu yetu wa Zimbabwe..!!?
nafikiri hata hiyo kofia aliyo vaa kuna kitu kaficha. siyo kawaida yake. inawezekana zile afro zake zina mshikeli. mia
Labda bado anajipanga kusema, tusubiri tu si unajua jamaa hapendi kukurupuka.Mwenyewe hataki kusema ss serikali iseme nn
Tulishasema Mwakyembe na Sitta ni wanafiki tukatukanwa humu.labda pitieni kwenye Kamusi maana ya neno Mnafiki ili tuelewane vizuri!Labda bado anajipanga kusema, tusubiri tu si unajua jamaa hapendi kukurupuka.