Somoche
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 6,996
- 9,520
Very SAD...sasa kama ni hivi mtu wa kawaida atapona kweli?!!! thisi is very dangerous na kitu kibaya kama hiki kinampata mtu ambaye ni waziri katika serikali na wala hakuna mtu yeyote anaechukuliwa hatua!!! matokeo yake anakufa anaacha watoto wake kwenye shida kubwa sana kisa fitna za watu ambao serikali inawajua kabissa!!!!!!!!!! hii ni kitu inatia hasira sana yani ni suala la wananchi sasa kuibana serikali mpaka iseme watu hawa nani anawahujumu!!! kama sivyo haifai