Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

Dalili zote alizonazo Dr. Mwakyembe zinaonyesha aliwekewa sumu ya mionzi ijulikanayo kama THALIUM-201. Vilevile yawezekana akawa alichanganyiwa na kiasi kidogo sana cha POLONIUM-210. Mojawapo ya dalili hizo ni mwili kuota magamba na ukurutu na kunyonyoka kwa nywele ambazo zote Mwakyembe zimejionyesha. Dalili zimegawanyika katika makundi mawili kama zilipo hapa chini.

Neurology

  • Signs take 2 to 4 days to develop with the severity dependent upon the level of poisoning.

  • There is peripheral neuropathy with marked leg and foot tenderness and paraesthesia. Weakness may be difficult to elicit because of pain and it tends to be mild.
  • With severe neurological involvement, respiratory paralysis can be fatal at the end of a week.
  • Examination of the eyes and face may show loss of the lateral half of the eyebrows, drooping eyelids, facial nerve palsy, ophthalmoplegia.
  • Specialist examination is required with slit lamp assessment and documentation of colour vision.
  • Keratitis and corneal opacities occasionally occur.
Dermatology
  • Hair loss, rashes and palmar erythema take 2 to 4 weeks to appear.
  • There is atrophy of the hair follicles. Alopecia is so characteristic that it should prompt suspicion. The hair loss primarily affects the scalp, temporal parts of the eyebrows, the eyelashes, and the limbs. Less often, the axillary regions are affected.
  • Early signs are not specific and include scaling of the palms and soles and acneform lesions of the face.
  • One month after the poisoning, Mees' lines (transverse white lines on the nails) appear in the nail plate. They also occur in arsenic poisoning and renal failure.
  • Other findings may include crusted eczematous lesions, hypohidrosis, anhidrosis, palmar erythema, painful glossitis with redness of the tip of the tongue, stomatitis and hair discoloration.
  • There is a characteristic band-like dark pigmentation of the scalp that develops within 4 days.

MATIBABU

Mtu akilishwa kiasi kikubwa cha Thaliium-201 anaweza kutibiwa kwa kupewa PRUSSIAN BLUE ambayo kwa kitaalamu inapunguza "half life" ya hiyo mionzi kwa 50%.

TATIZO LINAKUJA PALE AMBAPO MTU AMEPEWA POLONIUM-210 KWA KWELI HAINA TIBA. VILEVILE INATEGEMEANA NA KIASI AMBACHO MTU AMEPEWA KWANI TATIZO KUBWA NI KUWA POLIUNM-210 HUENDA KUJIBANZA KATIKA SIFONGO ZA MIFUPA (BONE MARROW) NA KUZIHARIBU KABISA HIVYO MTU KUPOTEZA UWEZO WA KUZALISHA CHEMBECHEMBE HAI NYEKUNDU (RED BLOOD CELLS).

"Alpha particles emitted from polonium-210 can disrupt cell structures, fragment nuclei, damage DNA, and cause cell death".

Takwimu zinaonyesha kuwa Russia ndiyo nchi inayozalisha kwa wingi Polonium-210 kiasi kipatacho gramu 100 kwa mwaka kwa matumizi ya kuzalishia Umeme.

Polonium-210 ndiyo iliyotumika kumuua jasusi wa kirusi Alexander Litvinenko aliyekuwa anaishi Uingereza baada ya kupata hifadhi ya kisiasa.

images
images
images

Picha kabla na baada ya kuugua (juu Alexander Litvinenko na chini Dr. Mwakyembe)

attachment.php
images
images

WARNING!

Huu ni ushauri unaweza kuufuata au ukaacha. Usivute sigara maana moshi wake una mvuke wa POLONIUM-210 ambao ndiyo chanzo cha kansa ya maini na mapafu kwa wavuta sigara. Hii ndiyo sababu sigara zinapigwa vita ila serikali kamwe haiwezi kuwaambia tatizo lake kubwa ni nini.

"A study published in the American Journal of Public Health (2008) suggests that tobacco companies have known about the danger of polonium in cigarette smoke for over 40 years. Monique Muggli, who led the review, examined over 1,500 internal documents from tobacco companies. Most of these have never been published and were made available through legal action. Muggli wrote, “Internal tobacco industry documents reveal that the companies suppressed publication of their own internal research to avoid heightening the public’s awareness of radioactivity in cigarettes".

Download the findings at
Waking a Sleeping Giant: The Tobacco Industry's Response to the Polonium-210 Issue -- Muggli et al., 10.2105/AJPH.2007.130963 -- American Journal of Public Health

Asante Palalisote kwa maelezo yako if these are true technical as you said and real situation to Mr.Mwakyembe mmmmhhhh ni zaidi ya hatari!!! let we pray.
 
ninachojua huyu bwana harudi kama alivyokwenda.......ana bahati maana hata ile dawa ya meno aliyopelekewa kama zawadi huko india hakuitumia maana tungekwa tunaongea mengine kabisa mda huu.....shukrani ziwaendee vjana wanaomtakia memo waliofikisha habari kabala box la dawa hiyo halijafika

Hii nayo ni big issue, dawa ya meno ilipelekwa kwa Dr Mwakyembe? Ina maana dawa hii ya meno ilitumwa kutokea Tanzania au ilipatikana huko huko India na kupelekwa kule hospitali? Ebu tupe mwanga na sisi tulio gizani. Naona haya mapambano ni ya nyama na roho!!!
 
Dalili zote alizonazo Dr. Mwakyembe zinaonyesha aliwekewa sumu ya mionzi ijulikanayo kama THALIUM-201. Vilevile yawezekana akawa alichanganyiwa na kiasi kidogo sana cha POLONIUM-210. Mojawapo ya dalili hizo ni mwili kuota magamba na ukurutu na kunyonyoka kwa nywele ambazo zote Mwakyembe zimejionyesha. Dalili zimegawanyika katika makundi mawili kama zilipo hapa chini.

Neurology

  • Signs take 2 to 4 days to develop with the severity dependent upon the level of poisoning.
  • There is peripheral neuropathy with marked leg and foot tenderness and paraesthesia. Weakness may be difficult to elicit because of pain and it tends to be mild.
  • With severe neurological involvement, respiratory paralysis can be fatal at the end of a week.
  • Examination of the eyes and face may show loss of the lateral half of the eyebrows, drooping eyelids, facial nerve palsy, ophthalmoplegia.
  • Specialist examination is required with slit lamp assessment and documentation of colour vision.
  • Keratitis and corneal opacities occasionally occur.
Dermatology
  • Hair loss, rashes and palmar erythema take 2 to 4 weeks to appear.
  • There is atrophy of the hair follicles. Alopecia is so characteristic that it should prompt suspicion. The hair loss primarily affects the scalp, temporal parts of the eyebrows, the eyelashes, and the limbs. Less often, the axillary regions are affected.
  • Early signs are not specific and include scaling of the palms and soles and acneform lesions of the face.
  • One month after the poisoning, Mees' lines (transverse white lines on the nails) appear in the nail plate. They also occur in arsenic poisoning and renal failure.
  • Other findings may include crusted eczematous lesions, hypohidrosis, anhidrosis, palmar erythema, painful glossitis with redness of the tip of the tongue, stomatitis and hair discoloration.
  • There is a characteristic band-like dark pigmentation of the scalp that develops within 4 days.

MATIBABU

Mtu akilishwa kiasi kikubwa cha Thaliium-201 anaweza kutibiwa kwa kupewa PRUSSIAN BLUE ambayo kwa kitaalamu inapunguza "half life" ya hiyo mionzi kwa 50%.

TATIZO LINAKUJA PALE AMBAPO MTU AMEPEWA POLONIUM-210 KWA KWELI HAINA TIBA. VILEVILE INATEGEMEANA NA KIASI AMBACHO MTU AMEPEWA KWANI TATIZO KUBWA NI KUWA POLIUNM-210 HUENDA KUJIBANZA KATIKA SIFONGO ZA MIFUPA (BONE MARROW) NA KUZIHARIBU KABISA HIVYO MTU KUPOTEZA UWEZO WA KUZALISHA CHEMBECHEMBE HAI NYEKUNDU (RED BLOOD CELLS).

"Alpha particles emitted from polonium-210 can disrupt cell structures, fragment nuclei, damage DNA, and cause cell death".

Takwimu zinaonyesha kuwa Russia ndiyo nchi inayozalisha kwa wingi Polonium-210 kiasi kipatacho gramu 100 kwa mwaka kwa matumizi ya kuzalishia Umeme.

Polonium-210 ndiyo iliyotumika kumuua jasusi wa kirusi Alexander Litvinenko aliyekuwa anaishi Uingereza baada ya kupata hifadhi ya kisiasa.

images
images
images

Picha kabla na baada ya kuugua (juu Alexander Litvinenko na chini Dr. Mwakyembe)

attachment.php
images
images

WARNING!

Huu ni ushauri unaweza kuufuata au ukaacha. Usivute sigara maana moshi wake una mvuke wa POLONIUM-210 ambao ndiyo chanzo cha kansa ya maini na mapafu kwa wavuta sigara. Hii ndiyo sababu sigara zinapigwa vita ila serikali kamwe haiwezi kuwaambia tatizo lake kubwa ni nini.

"A study published in the American Journal of Public Health (2008) suggests that tobacco companies have known about the danger of polonium in cigarette smoke for over 40 years. Monique Muggli, who led the review, examined over 1,500 internal documents from tobacco companies. Most of these have never been published and were made available through legal action. Muggli wrote, “Internal tobacco industry documents reveal that the companies suppressed publication of their own internal research to avoid heightening the public’s awareness of radioactivity in cigarettes".

Download the findings at
Waking a Sleeping Giant: The Tobacco Industry's Response to the Polonium-210 Issue -- Muggli et al., 10.2105/AJPH.2007.130963 -- American Journal of Public Health

thanks mkuu, may Allah bless you
 
Kama inazalishwa kwa wingi ni gramu 100 tu kwa mwaka thamani yake itakuwa kubwa sana kiasi sina uhakika kama tunaweza kuimudu.

Hayo ni mauchawi tu ya Sumbawanga.

wewe ndo kilaza kabisaaa yaani unahisi serikali inashindwa kununua hata kwa billions of money..
 
Kwa kuwa kupona kwake sasa ni miujiza ya mungu ni wakati sasa wa kufunguka na kusema yaleeeeeeeeeeeeeee aloyabakiza moyoni wakati wa Rich Monduli. vinginevo aendelee kuwaficha mafisadi wake
 
Du!! pole sana Dr. Mwakyembe tunakuombea kwa mwenyezi mungu akujalie uzima.
 
Nakosa hata ya kuandika! Maana inasikitisha sana, Ila yote ni njia mojawapo ya kuhitimisha maisha! Hata hao waliofanya hayo maovu ni sehemu ya maisha yao huenda wakapatwa na kitu kibaya zaidi ya hicho. Namtakia Dr. Afya njema!
 
Sio siri hii ripoti ukiisoma vizuri inatisha kumbe Tyson yumo kundini?
 
Nimetokwa machozi nilipoona picha ya Mh Mwakyembe gazeti la mwananchi ya leo akizungumza na Sitta akiwa bado hosipitalini. Mwli wake umekuwa kama nyoka. Kama ni watu walimpa sumu ili watu wapate madaraka walaaniwe

Lakini haya matendo ya kufizifiana yana mwisho kwani hukumu yao inakuja ya Libya kwani pamoja na pesa yote aliyokuwa nayo Kanal Gaddaf wananchi wapenda haki walitoa hukumu yao. Na kwa wale waliohusika kumtenda Mwakyembe wasubiri moto wake pamoja na fedha zao lakini wamejipalia moto mkali sana.
 
Acheni mambo ya kichochezi. Una uhakika gani kuwa ccm wamemlisha sumu?.

Mnajaribu kupandikiza chuki kati ya serikali na wananchi wake. Acheni hizo.

Kuna 'wananchi' wangapi wanaoipenda serikali ya ccm? Kinadharia, ukichanganya wanaoshiba katika serikali (JK, Jairo, Kafumu & Co)na maruhani ndo wanaoiunga mkono serikali.
 
kwanza kabisa poleni sana ndugu zetu wa kyela, ndugu zetu wa mbeya na watanzania kwa ujumla, najua mmeumizwa sana, ril mie nimeiona iyo picha katka gazeti la mwananchi, ndugu yetu Dr mwakyembe kaumizwa sana, na ukiiangalia ile picha kwa muda lazima machozi yatakutoka, huu si ubinadamu ni unyama mkubwa, kweli hii si Tanzania tunayoifahamu, na nina amini genge la waliohusika na unyama huu mkubwa wanajiandaa kugombea kiti cha uraisi ati watuongoze, si mtatuangamiza mna roho mbaya sana na ni wa kuepukwa kama kansa, ril mshindwe na katu hamtoweza, tunawachukia sana mabaladhuli wakubwa. Na mssssshiiindwe binadamu wenye roho za kinyama wakubwa (Laana tulwahi wakubwa mmetuumiza sana)

Hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu..ndivyo neno la Mungu linavyosema. Vita vyetu si vya damu na nyama na silaha zetu zina nguvu katika roho hata kuangusha ngome falme na mamlaka. Tunayo nguvu ndani yetu ya kukataa kuonewa na tuna ahadi kuwa tukimkanyaga nyoka/ nge kichwa hatatudhuru. Naona watu wengi wanaingia katika mtego wa shetani kwakusema Mungu atafanya...Mungu atatusaidia.. etc Mungu ametupa nguvu za kuwadhibiti maadui zetu nijukumu letu kujua hilo kwanza. Tukishajua basi tujifunze jinsi ya kutumia hizo nguvu hata zilete matunda.

Mfano wa haya ni kama vile unahabari kuwa duniani kuna wahalifu nawe unajua kabisa wanadhuru sasa anakuja mtu akupendaye anakupa AK 47 na manual yake na mwalimu wakukufundisha ili uweze kuitumia kila mara huyo adui ambaye hana hata silaha bali ujuzi wakukunyang'anya silaha uliyonayo na kuitumia dhidi yako kama utamruhusu.

Ndivyo ilivyo kwa wenye haki wote (maana mm sina dini bali nina imani katika Yesu na nguvu zake) hapa JF utasikia tumwombe Mungu amsaidie; wengine wanasema Mungu atalipa; wengine wanaamua kugombana kwa maneno ya kibinadamu...Hawajui kuwa wanamiliki AK 47 na huyo adui hatishwi na maneno yako matupu yasiyo na nguvu wala kwa wale wanaojidai kuwa wana AK 47 ndani lakini hawajui hata jinsi ya kuitumia...AK 47 inapata maana kama unajua unayo na unajua uwezo wake uko kwa kiasi gani katika kuangamiza na pia kama unajua jinsi ya kuitumia dhidi ya mtu mwenye training ya kuitumia lakini hana kibali cha kuimiliki kama ilivyo wewe.

Tunaye roho wa Mungu mwenye nguvu na uwezo ambaye vyote vilivyoujaza ulimwengu viliumbwa kwa nguvu yake na Mungu baba kupitia neno (Yesu) lake. Lakini kama hujui hiyo nguvu iko ndani mwako wala hujui jinsi ya kuitumia basi kuwa mpole tu na uombe wenye ujuzi wakusaidie kuliko kuwa na kiburi ambacho hakiwezi kukusaidia zaidi ya kukuaibisha. Ukristo si dini bali ni style ya maisha wale wanaoamini nakuuishi ni waflame katika dunia hii whether utapenda ama hutopenda and can do anything without any limitation. Na inapofika hapo huwa najiona niko juu ya dunia nakuiangalia kwa chini vitu vyote vikiwa chini ya control yangu 24hrs 7dys 52wks wakati huo huo nikiwa humbled by grace kwa niliyoyapitia kiasi ambacho heshima yangu hata kwa mtoto mdogo ni mwonapo nikubwa ajabu kwani kwake naona sura ya Mungu kwamba kwa udogo wake this can one day be my president na mimi nikampigia saluti...

Nimeandika haya yote kuinua imani ya wale wanaodhani Mwakyembe atakufa....Take it from me I have taken this case personal na hakuna kitakachompata iwe amaelishwa radioactive (rays), sumu(chemical) ama virus(biological weapon) hivi vyote vitageuka waste na kuwa disposed kama vile anavyokula vyakula vingine. Labda mta sema kwanini ngozi imekuwa hivyo basi..Ni ili msije sema kuwa haikuwa hatari yaani ishara kuwa the thing was realy na hao wabaya wahakikishe kuwa kweli waliyafanya haya lakini bado hakufua dafu kwasababu tu mtu mmoja Prince Ame ambaye anajua nafasi yake hapa duniani alikataa huu ubaradhuli wa shetani, Ili baba yake (Jehova) atukuzwe na wote wenye mwili.
 
Inasikitisha sana kuona wasomi kama hawa wanaamua kuchagua kifo chao wenyewe kuliko cha chama chao, Aliombwa sana ahame akasema yuko tayari kufa akisema ukweli sasa kweli inakuwa. CCM siyo mama yao Mwalimu mwenye kadi namba moja alinena wao wanang'ang'ana tu! Si vizuri kuwacheka lakini ni wasomi wanajua CCM walivyo wauaji hebu ikumbukeni orodha hii na mazingira ya vifo vyao:

HORACE KOLIMBA
IMRAN KOMBE
GIBONCE MWAIKAMBO
NZUGILE JIDULAMABAMBASI
SAMSON KIPEPE
OMARY MBANO
PAULIN MPUYA
SALOME MBATIA N.K

Nashukuru mungu hata rafiki yangu Dr Masumbuko Lamwai alibadili tabia yake ya kuusema ukweli kama ulivyo baada ya kuhamia CCM naye angekuwa marehemu kweli ingawa sasa hivi ni marehemu kisiasa lakini kimwili tunaye, kama hamwajui ni WABAYA HASWA
N
 
shukuru pia ndugu zako wamiliki wa JF kuficha ukweli kuhusu Mabilioni ya Mnadhimu wa JESHI, wangekua marehemu
 
Back
Top Bottom