Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

hii ndiyo sababu wasomi wengi sana wanabakia kuwa walimu wa vyuo vikuu, wanaachana kabisa na hii kitu.
 
huyu alikuwa na kiherehere sana

Sio wewe ndio mwenye kiherehere kwa kua na fikra mgando ndani ya jukwaa la great thinkers?unahitaji ukombozi wa ki fikra kwanza!shame on you
 
It is very sad kwa kweli. Get well soon Mwakyembe!

Mwakyembe.jpg
 
Mpaka swahiba Rost za mazizi nae nimemuuliza anakana wala hajui. Huyo kalogwa kwao
 
Watu wa CCM ni wauaji kabisa na sisi huku Mbeya hatuwataki kabisa.

una evidence yoyote kwamba ni CCM ndio waliofanya hayo mambo...? watu mbeya si mmechagua galasa liwe mbunge wenu ati SUGU seriously... kawasahau as if mmemchagua aende bungeni kugombana na ruge

Kikwete anajua a-z ya hili tukioshame on him na familia yake
 
Pole sana Dr. Hivi Prof mwandosya nae anaendeleaje?
 
una evidence yoyote kwamba ni CCM ndio waliofanya hayo mambo...? watu mbeya si mmechagua galasa liwe mbunge wenu ati SUGU seriously... kawasahau as if mmemchagua aende bungeni kugombana na ruge

wee kitoweo unasemaje?
 
Back
Top Bottom