Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

ukificha ukweli utakuumiza. aseme kweli nayo kweli itamuweka huru.
 
Busara zitumike katika kulihukumu hili. Na adhabu sahihi itolewe. Ila jazba na ushabiki usiwepo. Sikila apigiwae kelele za mwivi, ameiba kweli. Inabidi kumakinika, kabla ya kunyooshea watu vidole. Kila mwenye ushahidi, auweke hadharani. Wajerumani wana msemo unasema, sauti ya watu, ni sauti ya mungu.
 
Hadi mavu*zi yalinyonyoka...Huyu jamaa fake kweli. Afu anasingizia sumu kumbe kaugonjwa kaleee..
 
Busara zitumike katika kulihukumu hili. Na adhabu sahihi itolewe. Ila jazba na ushabiki usiwepo. Sikila apigiwae kelele za mwivi, ameiba kweli. Inabidi kumakinika, kabla ya kunyooshea watu vidole. Kila mwenye ushahidi, auweke hadharani. Wajerumani wana msemo unasema, sauti ya watu, ni sauti ya mungu.

Hata sauti ya kundi kubwa la watenda maovu nayo ni sauti ya Mungu?
 
Back
Top Bottom