ameni!kwa kweli hawa mafia wafie mbali.
Katika jina la yesu naomba uponyaji wa dk. Mwakyembe. Mungu ukamfunike kwa damu ya yesu.tunamuhitaji kwa ajili ya kukomboa wanawako wanaoangamia na serikali za ujasusi. Sote tuseme. Amen!
hebu tupe ushahidi.....:ban:Watu wa CCM ni wauaji kabisa na sisi huku Mbeya hatuwataki kabisa.
hebu tupe ushahidi.....:ban:
Kama ni kweli ni sumu, wahusika wanajulikana. Kwa nini hawaguswi?
Ndio maana wengine mambo ya imani tulishayashtukia haya make sense long time ago. Mungu angekuwa ana nguvu ya kuponya mtu basi angekuwa na nguvu ya kuzuia mtu asiteseke in the first place. Na kwa nini mpaka aombwe? Hivi wewe ukiona mtoto wako anaumwa utasubiri jirani na ma stranger wengine waje wakuombe na kubembeleza ndio umsaidie? Sisi si tunaambiwa ni watoto wa Mungu? Mungu gani hana huruma kuliko baba wa kibinadamu?MUNGU uko wapi kuwahukumu watu wanaowaangamiza wenzao kama hawa?
Nimetokwa machozi nilipoona picha ya Mh Mwakyembe gazeti la mwananchi ya leo akizungumza na Sitta akiwa bado hosipitalini. Mwli wake umekuwa kama nyoka. Kama ni watu walimpa sumu ili watu wapate madaraka walaaniwe
Picha kubwa: https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=41762&d=1321869350