Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

Dalili zote alizonazo Dr. Mwakyembe zinaonyesha aliwekewa sumu ya mionzi ijulikanayo kama THALIUM-201. Vilevile yawezekana akawa alichanganyiwa na kiasi kidogo sana cha POLONIUM-210. Mojawapo ya dalili hizo ni mwili kuota magamba na ukurutu na kunyonyoka kwa nywele ambazo zote Mwakyembe zimejionyesha. Dalili zimegawanyika katika makundi mawili kama zilipo hapa chini.

Neurology

  • Signs take 2 to 4 days to develop with the severity dependent upon the level of poisoning.
  • There is peripheral neuropathy with marked leg and foot tenderness and paraesthesia. Weakness may be difficult to elicit because of pain and it tends to be mild.
  • With severe neurological involvement, respiratory paralysis can be fatal at the end of a week.
  • Examination of the eyes and face may show loss of the lateral half of the eyebrows, drooping eyelids, facial nerve palsy, ophthalmoplegia.
  • Specialist examination is required with slit lamp assessment and documentation of colour vision.
  • Keratitis and corneal opacities occasionally occur.
Dermatology
  • Hair loss, rashes and palmar erythema take 2 to 4 weeks to appear.
  • There is atrophy of the hair follicles. Alopecia is so characteristic that it should prompt suspicion. The hair loss primarily affects the scalp, temporal parts of the eyebrows, the eyelashes, and the limbs. Less often, the axillary regions are affected.
  • Early signs are not specific and include scaling of the palms and soles and acneform lesions of the face.
  • One month after the poisoning, Mees' lines (transverse white lines on the nails) appear in the nail plate. They also occur in arsenic poisoning and renal failure.
  • Other findings may include crusted eczematous lesions, hypohidrosis, anhidrosis, palmar erythema, painful glossitis with redness of the tip of the tongue, stomatitis and hair discoloration.
  • There is a characteristic band-like dark pigmentation of the scalp that develops within 4 days.

MATIBABU

Mtu akilishwa kiasi kikubwa cha Thaliium-201 anaweza kutibiwa kwa kupewa PRUSSIAN BLUE ambayo kwa kitaalamu inapunguza "half life" ya hiyo mionzi kwa 50%.

TATIZO LINAKUJA PALE AMBAPO MTU AMEPEWA POLONIUM-210 KWA KWELI HAINA TIBA. VILEVILE INATEGEMEANA NA KIASI AMBACHO MTU AMEPEWA KWANI TATIZO KUBWA NI KUWA POLIUNM-210 HUENDA KUJIBANZA KATIKA SIFONGO ZA MIFUPA (BONE MARROW) NA KUZIHARIBU KABISA HIVYO MTU KUPOTEZA UWEZO WA KUZALISHA CHEMBECHEMBE HAI NYEKUNDU (RED BLOOD CELLS).

"Alpha particles emitted from polonium-210 can disrupt cell structures, fragment nuclei, damage DNA, and cause cell death".



Takwimu zinaonyesha kuwa Russia ndiyo nchi inayozalisha kwa wingi Polonium-210 kiasi kipatacho gramu 100 kwa mwaka kwa matumizi ya kuzalishia Umeme.

Polonium-210 ndiyo iliyotumika kumuua jasusi wa kirusi Alexander Litvinenko aliyekuwa anaishi Uingereza baada ya kupata hifadhi ya kisiasa.

images
images
images


Picha kabla na baada ya kuugua (juu Alexander Litvinenko na chini Dr. Mwakyembe)

attachment.php
images
images




WARNING!

Huu ni ushauri unaweza kuufuata au ukaacha. Usivute sigara maana moshi wake una mvuke wa POLONIUM-210 ambao ndiyo chanzo cha kansa ya maini na mapafu kwa wavuta sigara. Hii ndiyo sababu sigara zinapigwa vita ila serikali kamwe haiwezi kuwaambia tatizo lake kubwa ni nini.

"A study published in the American Journal of Public Health (2008) suggests that tobacco companies have known about the danger of polonium in cigarette smoke for over 40 years. Monique Muggli, who led the review, examined over 1,500 internal documents from tobacco companies. Most of these have never been published and were made available through legal action. Muggli wrote, “Internal tobacco industry documents reveal that the companies suppressed publication of their own internal research to avoid heightening the public’s awareness of radioactivity in cigarettes".

Download the findings at
Waking a Sleeping Giant: The Tobacco Industry's Response to the Polonium-210 Issue -- Muggli et al., 10.2105/AJPH.2007.130963 -- American Journal of Public Health

Wewe inaonesha ni mtu hatari sana katika maswala ya uchunguzi, Big up.
 
Hakuna kishindikacho kwa mungu, tupige goti tumwombe mungu amsaidie apone.
 
Vipi wife wake anasemaje? Kwa sababu siku zile za mwanzo alitoa povu akisema sio sumu kama vile yeye ndiye dokta mkuu wa India, nafikiri nafsi inamsuta kwa alichomfanyia mme wake.
 
Hata kama Mwakyembe aliwakosea watanzania kwa kuficha ukweli juu ya sakata la richmond ili kulinda serikali, siwezi kumwombea mateso kama haya! Pole Mwakyembe tunakuombea upone haraka uje kutupa ukweli wote.
Sahau kumwona akija kutujulisha chochote, labda arudishwe Bongo aombewe au aende kwa waganga wake wa jadi huko Mbeya, nasema hivi kwa sababu kama hospitali ya India ingekuwa ni msaada hali yake ingetengemaa badala ya kuwa mbaya zaidi.
 
Kama ni kweli kuna mtu au watu walio husika, basi MMungu asikie ombi hili! "Walaaniwe kila wanapoingia na kutoka! Watoto wao Wawe Yatima! Wake/Waume zao wawe
Vizuka/Wagane! Wapambane na kifo cha aibu hadharani! Kaburi lake lisiwe na Kumbukumbu, na likiwepo watu na wanyama wanye juu ya kaburi ili watu wakipita inzi wawazomee wooo!....EE MMungu sikia maombi haya.! Kila mwenye mwili na Aseme AMINA.
 
hivyo vipimo vya kulishwa sumu umevitoa wapi?


Kuna baadhi ya thread husomi? Au hata huyo utabisha kuwa siyo Mwakyembe. Mambo mengine mnayoyafanya hata shetani atawakana.
 
Pooor Mwakyembe nakuhurumia sana, mungu atakusaidia mpiganaji wetu, tunakumiss katika usimamizi wa barabara zetu, hasa kanda ya magharibi kulikokuwa kumesahaulika vibaya
 
Kwanini wanatutenda hivi Wanyakyusa?leo zanzibar wanataka kujitenga,kesho southern highland
2tataka kujitenga kwa kutulaghai ujenzi wa
Mbeya International Airport for more than 8years,wamebatilisha uendelezaji wa MIST kuwa University of Science and Technology na badala yake wanaenda kukijenga Arusha kama Mandela University.I DO CRY
FOR THIS.
 
Ukimchunguza Sitta kwa makini naye anazo dalili za maradhi yanayomsibu Mwakyembe, its just a matter of time. Du mamvi nomaaaaaaa.
 
Mungu.....saidia taifa letu....tulitawale sisi wenyewe kwa amani na maendeleo.....ccm sio chama cha kutuletea maendeleo,ccm ni wauhaji na mafisadi wakubwa....
 
sasa naona mambo ni magumu sana siasa ya nchi inakoelekea ni mbaya
sijui Pr.Mwakyusa
 
sasa mbona TISS A001 na TISS 32 hawaelewani kama ni kweli walipanga iyo mission?
 
Mi bado naamini anao watu,vyombo,taasisi anazoziamini. Arekodi kwenye CD siri zake,akabidhi.Kwa mtazamo wake yeye labda akigundua zilikuwa ni njama za kumuua basi atakapoaga dunia[Mungu apishie mbali],CD itolewe hata kwenye you tube. Au waziwazi kama ni taasisi na si mtu mmoja.
 
huyo basi tena jamani kama si leo baada ya miezi kadhaa

eeeee mungu tusaidie
 
.
Nafikiri llndugu ya unahitaji kujua Neno la Mungu linasemaje kuhusu maswala ya siasa, maana hata Daudi alikua ni mwanasiasa, Sauli na wengine wengi. Tuanaacha siasa inaendeshwa na wasiomjua Mungu ndio maana mambo kama haya yanatokea, laiti kama watu wa Mungu tungejua kuwa siasa ni nini Kibiblia tusingeachia shetani azidi kutuongoza. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Haswaaa! Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Lakini ukumbuke kuwa HATA uchague mtu mzuri, wewe uliye na utambuzi na uelewa, mzazi wako ( hasa kinamama) kule ushagoo atachagua CCM iliyooza. Na vijijini walio wengi ni mbumbumbu kabisaa, and that includes our own parents! Na huo ndo hasa MTAJI mkubwa wa CCM. UJINGA. Ipo mitaji mingine mingi tu tunayoifahamu, lkn hilo ndo kubwa.
Hata hivyo, na hii yasikitisha sana, PREZIDAA anahakikisha kuwa ujinga siyo unabaki palepale, bali unazidi huko ushagoo kwa kusaini kale kamswada ka KATIBA. Ole wake jitu lingine lianze kufanya kazi ya kamati teule ya marekebisho haya, chamoto litakiona. Kauli ya Bunge hiyo.
Lazima tuipate nakwambia!
 
Sahau kumwona akija kutujulisha chochote, labda arudishwe Bongo aombewe au aende kwa waganga wake wa jadi huko Mbeya, nasema hivi kwa sababu kama hospitali ya India ingekuwa ni msaada hali yake ingetengemaa badala ya kuwa mbaya zaidi.
Wamrudishe ili kina Gwajima wamuombee uzima kabla hajafa. Wana uwezo mkubwa wale, mpaka watu wanafufua!
 
Back
Top Bottom