Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

Hakuna mwanaharakati aliekula bata hyo ndo njia ya mateso wapitiayo ila ukwel utaendelea kusemwa. Ugua pole Dr Mwakyembe.
 
attachment.php

Kama ni kweli kapigwa sumu, waliotenda hivyo walaaniwe na vizazi vyao kwakweli.
 
mkuu unafanya kazi kwa niaba ya magamba, umetumwa?? watu wako serious, tumeumizwa au mwenzetu umefuraishwa na hali iyo?? ilo la chenge nalo unabisha? acha hizo, nyie ndo mkipenda sana hata chongo mtaita ni kengeza, pia pengo utadai ni mwanya. unadhihirisha roho yako ilivyo kama magamba pia mafisadi wenzako

nakuuliza hivi

matokeo ya kulishwa sumu umeyapatia wapi. Wekeni vithibitisho hapa jamvini. Sio kuongea tu bila vidhibitisho.
 
Huu ndiyo ujinga wa baadhi ya Watanzania unaoharibu intellectual discourse katika JF. Tunachomekachomeka tu irrelevat issues kwenye serious discussions. By the way, what is so special about CCJ kama si ushamba tu wa kisiasa tulionao?

labda Sitta ni chaguo lako kama sio kipenzi chako. fikiriaa vizuri
 
habari ya kuwekewa sumu kwenye kitambaa hata mimi niliipata toka kwa TISS mstaafu,.nakubaliana na jason,jk is at the center..
 
nakuuliza hivi

matokeo ya kulishwa sumu umeyapatia wapi. Wekeni vithibitisho hapa jamvini. Sio kuongea tu bila vidhibitisho.

soma huu uzi kuanzia mwanzo mpaka mwisho utaona huo ushaidi kuwa alipigwa nionzi ya polium na solium 210 kama sijakosea halafu linganisha na hali aliyokuwa na bwana mwakymbe..
 
Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! Wao wanagonga cheeeeeeeeeeers kuona mwakyembe anateseka hivi.....lakini tatizo ninini jamani?madaraka au kupinga ufisadi?...pole sana dr. Mwakyembe
 
Kinacho mmaliza Mwakyembe ni ile siri aliyosema anaihifadhi kwa kulinda heshima ya serikali na kuna wakati alitishia kuwa kuna siku atafyatuka. Kwa vile wabaya na watesi wake wanajua siku akifyajtuka atakuwa amewamaliza,hivyo waliona salama yao ni kumnyamazisha milele. Kwa vile Mwakyembe bado ana ufahamu wake bado na anaweza kuzungumza kwa kinywa chake, basi ni vema akayasema yote SASA kwani watesi wake wameshafanya kweli,na pia atakuwa ametutendea haki watanzania.
Kama ni hivyo,namshauri aweke siri hiyo kwenye CD na naamini ana mtu ama mwanasheria ama taasisi vya kuaminika ambapo kama atajiridhisha kuwa anateswa na wabaya wake basi atakapofikwa na mauti itolewe na mtu ama taasisi atakayoichagua kuhifadhi CD hiyo. Na hao wataitoa kirahisi tu..kwenye you tube!
 
jamani mi naomba post ya jason bourne maana kila mtu aliyeisoma anarefer kwa hiyo kwenye thread hii..
 
magamba wako very strategic! wanafanya mambo kwa uhakika angalieni historia za nyuma watu wa aina ya mwakyembe walikotokea wengi hawapo..inatakiwa wazawa tupige kelele kuokoa wachache tulionao wanaothubutu.
 
watu wanagonga glasi kwa hali ya mwakyembe..na sasa wameamua kupita na kusafisha majina yao kupitia nyumba za ibada........
Ipo siku itajulikana mbivu na mbichi na tunapaswa kuwakataa kwa nguvu zote maana now wanajifanya kondoo kumbe ni mbwa mwitu.
 
Dalili zote alizonazo Dr. Mwakyembe zinaonyesha aliwekewa sumu ya mionzi ijulikanayo kama THALIUM-201. Vilevile yawezekana akawa alichanganyiwa na kiasi kidogo sana cha POLONIUM-210. Mojawapo ya dalili hizo ni mwili kuota magamba na ukurutu na kunyonyoka kwa nywele ambazo zote Mwakyembe zimejionyesha. Dalili zimegawanyika katika makundi mawili kama zilipo hapa chini.

Neurology

  • Signs take 2 to 4 days to develop with the severity dependent upon the level of poisoning.
  • There is peripheral neuropathy with marked leg and foot tenderness and paraesthesia. Weakness may be difficult to elicit because of pain and it tends to be mild.
  • With severe neurological involvement, respiratory paralysis can be fatal at the end of a week.
  • Examination of the eyes and face may show loss of the lateral half of the eyebrows, drooping eyelids, facial nerve palsy, ophthalmoplegia.
  • Specialist examination is required with slit lamp assessment and documentation of colour vision.
  • Keratitis and corneal opacities occasionally occur.
Dermatology
  • Hair loss, rashes and palmar erythema take 2 to 4 weeks to appear.
  • There is atrophy of the hair follicles. Alopecia is so characteristic that it should prompt suspicion. The hair loss primarily affects the scalp, temporal parts of the eyebrows, the eyelashes, and the limbs. Less often, the axillary regions are affected.
  • Early signs are not specific and include scaling of the palms and soles and acneform lesions of the face.
  • One month after the poisoning, Mees' lines (transverse white lines on the nails) appear in the nail plate. They also occur in arsenic poisoning and renal failure.
  • Other findings may include crusted eczematous lesions, hypohidrosis, anhidrosis, palmar erythema, painful glossitis with redness of the tip of the tongue, stomatitis and hair discoloration.
  • There is a characteristic band-like dark pigmentation of the scalp that develops within 4 days.

MATIBABU

Mtu akilishwa kiasi kikubwa cha Thaliium-201 anaweza kutibiwa kwa kupewa PRUSSIAN BLUE ambayo kwa kitaalamu inapunguza "half life" ya hiyo mionzi kwa 50%.

TATIZO LINAKUJA PALE AMBAPO MTU AMEPEWA POLONIUM-210 KWA KWELI HAINA TIBA. VILEVILE INATEGEMEANA NA KIASI AMBACHO MTU AMEPEWA KWANI TATIZO KUBWA NI KUWA POLIUNM-210 HUENDA KUJIBANZA KATIKA SIFONGO ZA MIFUPA (BONE MARROW) NA KUZIHARIBU KABISA HIVYO MTU KUPOTEZA UWEZO WA KUZALISHA CHEMBECHEMBE HAI NYEKUNDU (RED BLOOD CELLS).

"Alpha particles emitted from polonium-210 can disrupt cell structures, fragment nuclei, damage DNA, and cause cell death".



Takwimu zinaonyesha kuwa Russia ndiyo nchi inayozalisha kwa wingi Polonium-210 kiasi kipatacho gramu 100 kwa mwaka kwa matumizi ya kuzalishia Umeme.

Polonium-210 ndiyo iliyotumika kumuua jasusi wa kirusi Alexander Litvinenko aliyekuwa anaishi Uingereza baada ya kupata hifadhi ya kisiasa.

images
images
images


Picha kabla na baada ya kuugua (juu Alexander Litvinenko na chini Dr. Mwakyembe)

attachment.php
images
images




WARNING!

Huu ni ushauri unaweza kuufuata au ukaacha. Usivute sigara maana moshi wake una mvuke wa POLONIUM-210 ambao ndiyo chanzo cha kansa ya maini na mapafu kwa wavuta sigara. Hii ndiyo sababu sigara zinapigwa vita ila serikali kamwe haiwezi kuwaambia tatizo lake kubwa ni nini.

"A study published in the American Journal of Public Health (2008) suggests that tobacco companies have known about the danger of polonium in cigarette smoke for over 40 years. Monique Muggli, who led the review, examined over 1,500 internal documents from tobacco companies. Most of these have never been published and were made available through legal action. Muggli wrote, “Internal tobacco industry documents reveal that the companies suppressed publication of their own internal research to avoid heightening the public’s awareness of radioactivity in cigarettes".

Download the findings at
Waking a Sleeping Giant: The Tobacco Industry's Response to the Polonium-210 Issue -- Muggli et al., 10.2105/AJPH.2007.130963 -- American Journal of Public Health
Ahsante mkuu!
 
Hata kama Mwakyembe aliwakosea watanzania kwa kuficha ukweli juu ya sakata la richmond ili kulinda serikali, siwezi kumwombea mateso kama haya! Pole Mwakyembe tunakuombea upone haraka uje kutupa ukweli wote.
 
Back
Top Bottom