Dalili zote alizonazo Mwakyembe zinaonyesha aliwekewa sumu ya mionzi ijulikanayo kama THALIUM-201. Vilevile yawezekana akawa alichanganyiwa kwa kiasi kidogo sana na POLONIUM-210. Mojawapo ya dalili hizo ni mwili kuota magamba na ukurutu na kunyonyoka kwa nyele ambazo zote Mwakyembe zimejionyesha. Dalili zimegawanyika katika makundi mawili kama zilipo hapa chini.
MATIBABU
Mtu akilishwa kiasi kikubwa cha Thaliium-201 anaweza kutibiwa kwa kupewa PRUSSIAN BLUE ambayo kwa kitaalamu inapunguza "half life" ya hiyo mionzi kwa 50%.
TATIZO LINAKUJA PALE AMBAPO MTU AMEPEWA POLONIUM-210 KWA KWELI HAINA TIBA. VILEVILE INATEGEMEANA NA KIASI AMBACHO MTU AMEPEWA KWANI TATIZO KUBWA NI KUWA POLIUNM-210 HUENDA KUJIBANZA KATIKA SIFONGO ZA MIFUPA (BONE MARROW) NA KUZIHARIBU KABISA HIVYO MTU KUPOTEZA UWEZO WA KUZALISHA CHEMBECHEMBE HAI NYEKUNDU (RED BLOOD CELLS).
Alpha particles emitted from polonium-210 can disrupt cell structures, fragment nuclei, damage DNA, and cause cell death.