Mwakyembe amshushua Tundu Lissu...

Mwakyembe amshushua Tundu Lissu...

Great Mind discuss Issues, poor mind discuss people!
siku zote ukikaa unajadili watu badala ya kujadili hoja unachemka vibaya, ndiyo tu kilicho mponza dr.Mwakye.
 
unakurupuka tu kuandika wakati hujafanya research!! mwakyembe kasimama sana mahakamani akiwa anafundisha akiwa na south law chembers na mvungi hata hao akina mgongolwa wamejifunzia kazi kwa mwakyembe sasa unakuja hapa na ngonjera zisizokuwa na mashiko

watanzana sijui wakoje kwa porojo za barabarani! nani kakuambia ukifanya research ndo ukawa msimamo wako kasome opinion ya thesis yake
 
pia alinikera sana kwa kutumia kingereza muda mwingi. wazee wengi walilalama kwa hili. ajue wengi wanaenda kiswahili hata kama tumesoma. wasomi jirekebisheni
 
unakurupuka tu kuandika wakati hujafanya research!! mwakyembe kasimama sana mahakamani akiwa anafundisha akiwa na south law chembers na mvungi hata hao akina mgongolwa wamejifunzia kazi kwa mwakyembe sasa unakuja hapa na ngonjera zisizokuwa na mashiko

watanzana sijui wakoje kwa porojo za barabarani! nani kakuambia ukifanya research ndo ukawa msimamo wako kasome opinion ya thesis yake

Hivi unajua thamani ya THESIS si kwenye cheti chako tu bali kwa Taifa lako?Nchi nyingi duniani hutumia thesis za wasomi wao kwaajili ya maendeleo ya nchi hizo,I hope you getting my point now.
 
Narudia tena, Ukiona msomi nchi hii anaitetea sisiemu ujuwe huyo kwishinei.Nichojua mimi msomi wa kweli anjipa muda wa kujenga hoja zenye mashiko akiongozwa na mantiki.Msomi wa kweli anakuwa "mounth piece"wa jamii.anaitetea jamii,na anakuwa mtetezi wa kweli wa jamii.Msomi wa kweli anarutubisha ubongo wake kwa kufikiri na siyo kurutubisha tumbo lake.Wasomi waliopo ndani ya sisiemu ni walafi wenye majivuno na kupenda kutangaza vyeo vyao vya usomi.Wahenga walisema chema chajiuza na kibaya chajitembeza,usomi siyo kupiga kelele umesoma bali ni kuonesha matendo yanayoambatana na usomi.Wasomi wengi wa nchi hii ni mafisadi na wanaopenda kujilimbikizia mali.Hawana mchango mkubwa sana kwa maendeleo ya nchi hii zaidi ya kulididimiza taifa hili.Kwa ujumla wasomi wa nchi hii ni fedheha tupu .Mtoa uzi huu yupo sahihi kabisa "big up"
 
Ukitaka kumjua mtu, mpe madaraka. Mwakyembe amekuwa mla matapishi yake tangu aikwae uwaziri. Richmond alikiri kuwa ameficha mambo mengi, akiwa Indi wakati wa matibabu aliahidi kusema kila kitu akirudi Tanzania! Leo anataka kupiga siasa kwenye maandishi yake kuhusu Muungano.

Kama kweli Mwakyembe anaamini anachosema sasa huko Dodoma ajaribu kupeleka nakala Ujerumani aone nini kitatokea.
 
Naona personal attacks tu dhidi ya Mwakyembe sioni kama unajibu hoja kwa hoja , ukajipange.
 
.
Kweli rangi nyeusi inayoishi Afrika haiwezi kuacha asili yake ya ulimbukeni hata siku moja.Kwa namna ninavyofahamu wasomi wengi duniani ambao wamepata fursa wamefanya mambo makubwa sana kwenye jamii zao na ulimwnguni kwa jumla.
Mfano Dr Carson,The NEURO SURGEON amefanya mambo makubwa kwenye kuboresha matibabu ya ubongo,Hawa ndiyo watu ambao hata wakijisifia kuwa wamesoma utakubaliana nao kwasababu wanastahili lakini kamwe hutawasikia akina Dr Ben Carson wakijisifia kuwa wao ni wasomi kuliko wengine isipokuwa matendo yao yanaongea mengi na hata kujizolea sifa lukuki ulimwenguni.
Nikirudi kwa wasomi wetu wa Afrika kusema kweli wanakera sana.Wao wanadhani kukusanya vyeti kutoka vyuo mbalimbali na kujifungia library kuandika vitabu wakitumia kazi za watu wengine ndiyo wamemaliza wajibu wao wa kulijenga Bara la Afrika.Leo Mwakyembe anaposimama pale Bungeni na kuanza kukejeli elimu za wenzake na kujisifia kwamba yeye amesoma sana kwakweli inasikitisha sana.
Dr Samson Kiseka aliyekuwa Waziri Mkuu katika serikali ya Yoweri Museveni huko Uganda haliwahi kuhoji weredi na ubunifu wa wasomi wa Kiafrika.
Alisema pamoja nakuwa na wasomi ambao tungewaita waliobobea lakini wameshindwa kutengeneza hata njiti za meno, nyembe,sindano na vitu vingine vidogo,wanabaki kujisifia kwa wingi wa vyeti,vilivyolundikana kwenye shubaka zao,lakini hawakidhi kivitendo matakwa ya vyeti hivyo.
 
Hivi mlitegemea kitu cha maana toka kwake kweli? Let us be seriuos jamani, yale mawea liyopigwa nayo kupitia Tundu sioni namna nyingine ambayo angekuja nayo Mwakyembe pale, kiukweli ni bora ngenyamaza kimya kabisa asijibu chochote na kwasababu mwenyekiti wa hili bunge ni swahiba wake, wangeongea hata chemba tu, angetengeneza hata safari ya kikazi nje ya bunge hilo, sasa kajidhalilisha sana, Labda tu swali la kizushi tungeuliza hapa kwa wasomi wengine; kwakua hicho kitabu ndicho kilichompa u-doctor, je haiwezekani wakawasiliana na hicho chuo ili wa-review degreee yake? Cause hata yeye mwenyewe kumbe hana imani na research aliyoifanya!

Umenichekesha sana kwenye safari,lakini ni kweli kabisa mimi nilidhani atatumia busala kwa kukaa kimya kabisa badala yake amekulupuka na binafsi nimemshangaa sana na nimemdharau rasmi kabisa.
 
Nahitaji elimu. Mwakyembe alikomalia hoja kwamba mkataba wa muungano ulikwishakubaliwa na "Baraza la Mapinduzi" huko ZNZ. Ilikuwa hoja sahihi? Baraza ndilo lilikuwa "bunge" la Zanzibar wakati huo?
 
Jamani tutamlaumu bure kiumbe wa MUNGU huyu, kile kitabu mnachosema aliandika yeye siyo kweli.Kile kitabu alitoa pesa akampa PROFESA SHIVJI amwandikie kile kitabu kwa malengo ya yeye kupata PHD tu basi.Mwakyembe hana akiri ya kuandika kile kitabu na hilo amelielezea hata jana pale mjengoni.PROF SHIVJI ndo AUTHOR wa kile kitabu kilichompa u doctor ndugu yetu HARISON wa mbeya kyela.Uwezo alionao TUNDU LISU kwenye masuala ya kisheria ni mkubwa mno ukilinganisha na wa DR,mwakyembe.HILI suala hata TUNDU LISU mwenyewe alikuwa halijui.
 
Mbona ni rahisi sana? Wanawake wanazaa kila aina ya vituko duniani. Sasa wewe unaandika ukiwa shuleni unafanya PhD kuwa unataka serikali tatu na inavyokuja kwenye practical unaruka juu kama Sergej Bubka wa Ukraine, wapi na wapi?

Ndiyo maana nikasifu Mama yake Mwakyembe kwa kutuzalia Harrison mwenye akili za darasani nyingi sana, uwezo mkubwa sana ila inapokuja kwenye kuonyesha uwezo wake, anakabidhi akili zake kwa Nape Nnauye. Yaani yeye na Lusinde (Mzee wa Kudadadeki) wanakuwa sawasawa.

Kuna wimbo wa Will I AM anaimba "I got it from my Mamma."
Hapa mkuu kuna kitu kingine umemaanisha? Sijakupata sawasawa! Au nami leo nimeamka na akili kama za Mwakyembe? Ugumu wa kuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Jana nilimdharau Mwakyembe alivyokuwa anajivuna na kuwaponda wenzake huku akishindwa kupinga hoja za wapinzani wake lakini ''Miafrika ndivyo tulivyo'' Nyani Ngabu
Mnafiki tu yule hana lolote.Msomi gani unatumwa kuchunguza jambo halafu ukija unatoa taarifa nusu na nyingine kuzificha eti kumwokoa JK asiporomoke. Wasomi ni akina Warioba, Nyalali na Robert Kisanga ambao wao waliita koleo ni koleo na sio kijiko kama alivyofanya yeye kwenye richmond mnafiki mkubwa
 
Tundu Lissu kama Mnyaturu, sina utani naye na hivyo siwezi kusema kitu kwake.

Ila Mwakyembe na mimi ni damu damu kumtania. Hapo wewe fikiri Tumbo lililomshusha Mwakyembe. Huyu Mama yake kama kweli yupo hai na alisoma kidogo, sidhani kama atakuwa anamsifu Mwanaye kwa sasa. Kyela kaliza watu wengi sana kwa ahadi na wengine hadi wakapoteza kazi kwa kuwaahidi kuwanunulia hadi magari. Mzee mmoja alipewa hadi makaratasi aweke sahihi kuwa gari linakuja..... hakukuwa na gari na wakamfukuza kazi. Aliuguwa Mzee wa watu na akaja mbio kwa Mpinzani wake kuomba Msaada na Msamaha.

Mwakyembe na usomi wake wote, uwezo wake Mkubwa wa kisomi, kakabidhi akili zake kwa Ndungay. Unajua madhara ya kumpa akili zako Mgogo? Wagogo akili pungufu sana na watakachofanya ni kujaza Pumba (Mhumba) ili uwe kama wao. Ila mwisho wa siku, inabidi uwe umebarikiwa na Mama yako kukubali akili zako zishikwe na Lusinde Kudadadeki.
Kwa hiyo unasemaje kuhusu tumbo lililomzaa Tundu.Lissu?
 
Back
Top Bottom