Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,976
Toka ufukuzwe umoderator umerukwa na busara na akili
Back to Topic!
Toka ufukuzwe umoderator umerukwa na busara na akili
Hivi hawa wanasiasa wamelaaniwa jamani? Waziri mzima anatoa mipasho. Phd holder -- no way, labda phd ya trash. Wana shida gani hawa? Hawajifunzi kwa nchi nyingine? Na pia hawajali kuwa watoto zao wanawatazama na kuwasikia wakati wanaongea haya mapumba?? Wananchi tuna needs nyingi sana ambazo hawa watu wanapaswa kuzi-adress badala ya kufanya huu upumbavu wanaoufanya sasa; tena kwa kutumia kodi zetu.
Kumbe Mwakyembe nae msaka tonge, sasa nani wa kunyang'anywa degree? maana Mwakyembe mwenyewe ndo aliandika kitabu na sasa hiv anakikana
Muumba ashukuriwe, Matumbo ya Wanawake yanazaa kwa kweli.........
![]()
Kwa mara ya kwanza kusikia akichangia bunge la katiba leo asubuhi nimejifunza mambo makuu yafuatayo.
1.Mwalimu hawawezi kukufundisha kila kitu anachokijua kwa kuwa anajua ukijua kila kitu unaweza kumzidi. Ukisikiliza namna alivyochangia utagundua kuwa Tundu Lissu alisoma vijarida tu vya sheria pale Mlimani badala ya kusoma vitabu vya sheria.
Namnukuu dr mwakyembe akihoji kitabu chake kutumiwa vibaya na tundu lissu "Mh mwenyekiti huwezi ukakisoma kitabu hiki kwa haraka haraka ukakielewa kama unavyosoma gazeti la Tanzania Daima"
2. Tundu lisu anaweza kunyanganywa degree yake wakati wowote. Akichangia leo amewataka waalimu waliomfundisha Tundu lisu kuanza kufikiria namna ya kumnyanganya tundu lisu degree yake hii ya mlimani kwani anakitia chuo hiki AIBU.
3.Maalimu Seifu hata siku moja hawezi akadai serikali tatu na ndio maana hakubaliani na wana UKAWA kuhusu serikali tatu ila yeye kasimamia kwenye hoja ya serikali ya mkataba sababu ni hii:- Akichangia leo dr mwakyembe alinukuu baadhi ya maneno ya maalimu seifu aliyowahi kuyasema na nukuu "Mh mwenyekiti unapokuwa kiongozi unatakiwa usimamie maneno yako naoma nimnukuu mh maalimu sefu maneno yake aliyokwisha kuyatoa bungeni kwamba nanukuu hatuwezi kuuvunja muungano wa tanganyika na zanzibar kwani kufanya hivyo umewarahisishia wale tuliowafukuza njia ya kurudi. Adui yao mkubwa na kikwazo kikubwa cha wao kutorudi ni muungano huu" . Katika hoja yake maalimu seifu alitahadharisha pia kuwa si kwamba muungano hauna dosari ila ni vizuri kuzitatua dosari hizo kuliko kuuvunja muungano.
4. Tundu Lisu ni MJINGA kabisa na anatakiwa arudi darasani kujifunza tena upya na ikiwezekana abadilishe fani kabisa SHERIA imemkataa.Katika uchangiaji wake dr mwakyembe alihoji kuwa hata mwananchuo wa mwaka wa kwanza anajua kuwa kama umedumu na muungano huu kwa miaka 50 na hujauhoji leo huwezi kuhoji sain au makataba wake kwani kwa muda ambao umedumu nao ni kwamba umeshaubariki kuna neno la kisheria alilitumia hapa.
5. Kuna hatari ya maproffesor na ma dk kukataa Tundu lisu asiwa wanukuu maandiko yao kutokana na kuyapotosha nafikiri hili linaruhusiwa. Atabaki kunukuu vitabu vya shigongo vya mapenzi na vya nyambari nyangwine.
mwakyembe,,,, ile sumu inamuathiri kwel mzee wa wa2

Tokea umetimiliwa umod hata kuandika hujui umepagawa anzisha blog yako
Mambo ya siasa acha kabisa. Yaani Maprofesa na wenye PhD zao wameziweka kando wanaanza kutetea ujinga! Inafika mahali mpaka Dr. Mwakyembe anakanusha kitabu chake?!
Tundu Lissu ni mpotoshaji mkubwa sana na ni mtu hatari sana usalama, umoja na mshikamano wa nchi yetu! Ni mtu asiye na heshima na adabu kwa wakubwa zake!
Msije mkashangaa akimtukana baba yake hadharani kisa eti kadigrii kake ka sheria!
Namnukuu dr mwakyembe akihoji kitabu chake kutumiwa vibaya na tundu lissu "Mh mwenyekiti huwezi ukakisoma kitabu hiki kwa haraka haraka ukakielewa kama unavyosoma gazeti la Tanzania Daima"
QUOTE]
Kweli CCM is a mental disease, badala ya huyu Dr. Mwakyembe kujificha kwenye hiyo statement tata atwambie katika alikuwa anamaanisha nini aliposema the ONLY alternative is three government. "Asijimwamba fai" kwamba kitu alichoandika kwenye kitabu chake ni kigumu kueleweka. Watu tunasoma nuclear physics tunaelewa hiyo DS yake kwenye kitabu ndiyo iwe ngumu kueleweka?!. Huyu Dr. bure kabisa, wala hana hadhi ya kumjibu TL.
Kule CCM, hata ukiwa Professor, akili ni sawa na mtu ambaye hakwenda shule. Kazi tunayo watanzania.
Muumba ashukuriwe, Matumbo ya Wanawake yanazaa kwa kweli.........
![]()
Professor anayewaita wenzake "Interahamwe?"